Recent content by Kitoga

  1. Kitoga

    Nina mahindi naomba kujua soko

    Mahindi ya mwaka huu ama ya mwaka jana.Bei yako ni kiasi gani ulipo?
  2. Kitoga

    INAUZWA Viatu

    Vinapatikana kila aina na Saizi tofauti .kwa maelekezo zaidi piga namba 0672:716267
  3. Kitoga

    Hii Ndiyo Dawa ya Foleni kwa Jiji la Dar es salaam

    Suluhisho ni kuongeza miundombinu kuligana na ongezeko la mgari.Miundo mbinu hii miaka ya nyuma 1950 ilijitosheleza.Nashauri wapewe wenyekuweza kujenga barabara za kulipia ikiwa ni za juu ama vinginevyo.Yamefanyika ktk nchi za wenzetu.Nawasilisha
  4. Kitoga

    Habari kuhusu Taasisi ya kukusanya Mapato (TRA)

    TRA shaurimoyo wamezodi kwa kua na utaratibu mbovo.Wateja wanasota zaidi ya wiki kupata tax clearence na hoduma nyingine.Wekeni utaratibu mzuri watu wapate huduma kwa muda na warudi kufanya shughuli nyingine za uzalishaji.
  5. Kitoga

    Kwa mahitaji ya nafaka

    KWA MAHITAJI YA NAFAKA MAHINDI ULEZI NGANO MASHUDU YA ALIZETI. BIDHAA TAJWA HAPO JUU ZINAPATIKANA KWA ORDER. KWA MAWASILIANO ZAIDI : 0625-468446
  6. Kitoga

    Naomba kujua biashara ya Namibia

    Habari zenu wadau. Naomba kujuzwa kwa wafanyabiashara wa hapa ambao hupeleka bidhaa Namibia kushirikina taarifa za kibishara .Nimelenga zaidi kwenye mazao ukizingatia nchi hiyo asilimia kubwa ni jangwa.Karibuni
  7. Kitoga

    Nahitaji soda Pepsi

    Wapendwa, Bidhaa hii imekua adimu kwa baadhi ya maeneo.Ninahitaji cret 50 za soda kila baada ya siku moja ama mbili.Nipo Pugu kajiungeni.Bei yangu ya kununua kila creti ni Tsh 9300/=Tuwasiliane kwa number 0625468446. Karibuni
  8. Kitoga

    Mtu wa kusupply mayai anahitajika

    Bora umjulishe ya mini kuniuliza Mimi bei ngani kwa nini?
  9. Kitoga

    Mtu wa kusupply mayai anahitajika

    Being ni 7500 try. Nahitaji 50 try .unaniletea nipo pugu kajiungeni
  10. Kitoga

    Mtu wa kusupply mayai anahitajika

    Habari zenu ndugu wapendwa. Nahitaji mayai nipo Dar.
  11. Kitoga

    Taarifa:Kwa wanaohitaji Samaki.SATO...SATO...SATO

    Hari ya muda huu,ninahitaji vifaranga je naweza kupata?
  12. Kitoga

    Nafasi za kuvuna mpunga

    Bachelor huku ukizurura haisaidii.Wamepotea wengi kwa namna hiyo.KKB inaponza mwanaume hachagui chaka.Kua uyaone
  13. Kitoga

    Matrecta bado yanalipa?

    Tuwasiliane unatoka ni uhakika.Kinachotakiwa kujua ni muongozo wa kazi.E_mail:massareth@yahoo.com
Back
Top Bottom