Matrecta bado yanalipa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matrecta bado yanalipa?

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by chodoo, Apr 15, 2012.

 1. c

  chodoo Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  nimeletewa trecta ili niweze kukodisha kwa wakulima hivi jamani bado biashara hii inalipa na wapi kwa sasa yanahitajika ni Massey ferguso 375, naomba mnishauri
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Yes inalipa sana nenda mikoani au mtafute malila wa JF akupe michongo.
   
 3. c

  chodoo Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  hope malila will come to surface
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  ushawahi kuendesha hii biashara?.........weka picha za hilo trekta hapa
   
 5. c

  chodoo Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  ndio k

  mimi ndio kwanza naanza hii biashara sio mtaalam sana any comment will be highly appreciated
   
 6. Kitoga

  Kitoga Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Tuwasiliane unatoka ni uhakika.Kinachotakiwa kujua ni muongozo wa kazi.E_mail:massareth@yahoo.com
   
 7. c

  chodoo Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  kitoga nitakuemail tuelekezana mzee
   
 8. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  elekea kilombero au kilosa umasikin basi
   
 9. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni pesa kaka! Tena ufikirie kuanzisha mashamba yako pia.
   
 10. c

  chodoo Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  ninajitahidi kuweza kupata angalau contact za huko ili nipate angalau na mimi km heka hamsini nilime na kuendelea na biashara ya kukodisha kwa wengine any one with contact za huko naomba anisaidie
   
 11. wmakishe

  wmakishe Member

  #11
  Jan 10, 2013
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  Chodoo hebu weka mrejesho hapa jamvini!
  Vipi hiyo massey Fugerson kama imepiga mzigo mambo yamekuwaje?
  Ulienda kupiga kazi maeneo gani? ifakara, Kilosa au gairo?
  hebu tupe picha halisi.
   
 12. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2013
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  JK ameshaiharibu hii biashara aisee na Matrekta yake ya Suma JKT (Japo kwa mkulima ni jambo zuri) trekta zimekuwa nyingi siku hizi japokuwa ukiwa nalo hulali njaaa
   
 13. Habdavi

  Habdavi JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2013
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Njoo singida, demand ni kubwa
   
 14. c

  chodoo Member

  #14
  Jan 19, 2013
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Lipo ifakara kijiji cha kikwawila, linaendelea kupiga Mzigo ingawaje kuna challenge za hapa na pale lakini bado yanahitajika msimu ndio unakaribia mwishoni
   
 15. m

  malulumo Member

  #15
  Jan 20, 2013
  Joined: Jan 9, 2013
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kaka nami nna chombo kama hyo cna kaz kama znapatikana 2ambiane
   
 16. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #16
  Jan 20, 2013
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Kuna kitu ambacho watu hawajajua Kuhusu Tracta,

  Matrecta yanauwezo wa Kufanya kazi nyingi sana kuliko mashine ypoyote ile,

  1. Yana Saga Unga

  2. Yana Drill Visima

  3. Ynachimba mashimo

  4. Yana fyeka

  5. Yanapukuchua mahindi

  6. Yana lima Barabara kama ma greda

  Ni nyingi sana kinacho takiwa ni kutafuta hizo vifaa vayke ambavyo mara nyingi vinapatikana nje ya Nchi, Sema watu wengi wakiagiza trecta wana kumbuka Jembe na Tela pekee
  ,
   
 17. m

  malulumo Member

  #17
  Nov 13, 2013
  Joined: Jan 9, 2013
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kaka msimu ndo huu kama una pori nambie nna MF 375. MY no 0767452660
   
Loading...