Naomba kujua biashara ya Namibia

Kitoga

Member
Apr 16, 2012
28
2
Habari zenu wadau.
Naomba kujuzwa kwa wafanyabiashara wa hapa ambao hupeleka bidhaa Namibia kushirikina taarifa za kibishara .Nimelenga zaidi kwenye mazao ukizingatia nchi hiyo asilimia kubwa ni jangwa.Karibuni
 
Namibia sio naona maroli mengi yakipeleka mchele na maharage Angola pale vitu vinauzwa kwa dola ambayo naona inawalipa Zambia via sesheke boda mpaka Angola tatizo lao ni upatikanaji wa Visa ukiweza nenda huko Namibia wasouth wamepashika pale kila kitu wanapeleka wao...
 
Huko ANGOLA issue ya Usalama imekaaje?
 
Huko ANGOLA issue ya Usalama imekaaje?
Mkuu mimi binafsi sijawahi enda Angola ila kuna kipindi nilitaka kwenda huko nikaghairi...nimeshauri kuhusu chakula kwa kuwa huwa napishana na maroli sesheke boda ya Namibia yaakiitafuta Angola mengi ya Kitanzania..kipindi cha nyuma walikua wanapeka nguo izo za Thailand zilikua bei nzuri kwa dola pale...kuna mdada mmoja yupo mbeya yeye anapeleka chakula kwa sina contact zake...
 
Asante ndugu
 
Back
Top Bottom