Mtu wa kusupply mayai anahitajika

Mtu wa kusupply mayai anahitajika

Tray 4800 mhhh ninayo siwezi supply. Tray kwa sasa bei ya jumla ni 8000
 
Mtu mwenye uwezo kwa kusupply trey 100 mara tatu kwa week. Kwa maana ya trey 300 kwa week. Kwa bei ya 4800 kwa trey anitafute kwa no 0657317631.
Uwe na uhakika wa kusupply huo mzigo kweli. Asanteni sana.
Wee ni mfugaji kweli? Hii bei haipo soko lolote sasa hivi. Labda useme umeagiza zile yai feki za kenya.
 
una nunua trey kwa shilingi ngapi na unahitaji trey ngapi..

Mkuu wewe ungempa taarifa kitonga kwamba mayai unayo na unauza kwa kiasi gani na unapatikana wapi? Hapo tarayri ungefanya aanze kukufikiria kufanya biashara na wewe. Fursa hiyo mkuu.
 
Mkuu wewe ungempa taarifa kitonga kwamba mayai unayo na unauza kwa kiasi gani na unapatikana wapi? Hapo tarayri ungefanya aanze kukufikiria kufanya biashara na wewe. Fursa hiyo mkuu.
Bora umjulishe ya mini kuniuliza Mimi bei ngani kwa nini?
 
sasa c unaona hapo.. watu trey wanauza 9000 sasa hivi.. unataka trey kwa elfu 7500 na uletewe ulipo... pouwa ndugu asante kwa ushirikiano wako
 
mimi nipo Dar nahitaji tray 50-100 kwa siku. nitafute 0788812958 kama unaweza kusupply
 
Back
Top Bottom