Recent content by kitiforever

  1. K

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya dini inavyojipotezea heshima nchini Tanzania!

    Privelege siyo privalage angalia sana kiingereza chako.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

    Ameded ikiwa na maana ya amekufa au has died.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu tofauti kati Kadinali na Askofu ktk kanisa Katoliki

    Lakini watu hawendi mbinguni kwa vyeo vikubwa vya wanadamu bali kwa roho iliyovunjika na moyo uliopondeka na kuvunjika. Zaburi 51:17
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisumu City gallery, Kenya's 3rd city

    ARUSHA BOMBA ZAIDI YA KISUMU. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa amtembelea Mhe. Tundu Lissu hospitalini Nairobi

    Alexelias acha ujuvi Lowasa kuweka mikono kati kuna Shida gani? Kwani kuna formula au kanuni ya namna ya kuweka mikono? Tuambie basi hiyo formula. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania Vyanzo vipya vya mapato

    Elewa kuwa kanisa siyo mradi Kama unavyodhani wewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nambie majina yao.

    Yupo pia Walker Texas Ranger Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ndoa za wake wengi katika ukristo

    Kuoa wanawake wengi si sheria ya Mungu. Ukisoma kitabu cha Mwanzo 1:26-27 utaona Mungu alivyoumba MTU, pia Mwanzo 2: 7, 18, 21 na 22 utaona Mungu alisema atamfanyia Adamu msaidizi mmoja siyo wengi was kufanana naye. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania Saa aina ya SEIKO 5 used iliyo katika hali nzuri sana

    Hiyo laki 2 huwezi kupata. Hii SAA ni old fashion kabisa au time immemorial, ziko SAA za kisasa zaidi being che tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania Katoka Tanga kaja Mwanza bila taarifa

    Acha ujinga were kijana, wakati unatembea naye so ulimpenda na apandaye huvana. Uwe mcha Mungu, Hugo Dada anamwogopa Mungu ndio maana hajatoa mimba kama ulivyotaka. Na akitoa tu na pesa zako zitalaaniwa, hutakaa ufanikiwe maana damu ya mtoto Hugo itamlilia Mungu Siku zote. Acha mawazo ya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

    Hugo aidha ana pepo LA ulevi au maagano ya mizimu ya kwao. Kama uko Dar nenda Tegeta, shukia Tegeta Skanska halafu ulizia Kanisa LA Ukombozi LA Nabii Malisa, mkeo atafunguliwa na shidavyote hiyo itaisha. Kuna watu walikuwa na matatizo zaidi ya hayo wakapona kabisa. Siyo kwa akili zake...
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta asubiriwa kwenye mdahalo wa urais Kenya

    Siyo mahaba, bali ieleweke kwamba kuwa kiongozi mzuri hakutegemei kupita kwenye mdahalo. (a good leader is never determined through debate participation, rather in the way here/she handles issues pertaining to the welfare of his Society and development of the country at large. Besides that...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

    Unasema nitumie wote walikuwa wa Mashsriki ya kati, mbona mtume Paulo alikuwa Mtume (Mzungu wa Italia ya Sasa. Kaisari alikuwa Mzungu pia. Ukiangalia miji kama Korintho na Thesalonike ni miji ya ulaya katika nvhi ya Ugiriki. Kwa hiyo wazungu ni watu wa kawaida kama wewe tu isipokuwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wachawi wanikosesha usingizi usiku wa leo

    Tafuta kabisa la wokovu ukaobewe. Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Wewe dada tunza ahadi yako ya ndoa.Hicho kinachokunyemelea ni roho ya uzinzi na huyo jamaa uliyefall kihisia kwake anatumiwa na shetani kutaka kuvunja ndoa yako. Ukithubutu tu ndoa yako lazima ivunjike. Kama wewe ni mkristo soma 2Wakorintho 6:15-20 has mstari wa 18 na 19 na...
Back
Top Bottom