Saa aina ya SEIKO 5 used iliyo katika hali nzuri sana

Saa aina ya SEIKO 5 used iliyo katika hali nzuri sana

Hivi mpya dukani yauzwa kiasi gani vile?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa watu wanaojua saa kwa miaka mingi basi watakubaliana na bei ya jamaa tena ameshusha sana bei.

SEIKO 5 kwa ninavyokumbuka Aunt yangu alinunua kwa laki 5.5 miaka ya tisini mwishoni kuingia 2000.

Hata ukiwauliza mafundi saa kuhusu Seiko 5 watakupa habari yake.

Ni vile hatuna pesa kwasasa ila sishangai bei ya jamaa kwakuwa ni used.
 
niache kununua smart watch ninunue hiyo yako??
 
Back
Top Bottom