Nambie majina yao.

Nambie majina yao.

a57a7ee2d2c1081847b9eeec380ff148.jpg

.....Daaah kumbe Chid benz wa longii af hazeeki
Wanamuita bily blanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kila kitu ila duuuh umenifurahisha kwa Cynthia eti komando Suzi
hilo ndio jina la harakaharaka tuliombatiza huyo mwanamama mkali wa mateke.
walikwepo wengi huyu tulimuita Masanja, huyu kacheza movie inaitwa Tiger cage, sterring Don Yen na Cynthia Khan au Komando suzi wa kichina.
hahaha...
More-Yen-Action-640x432.jpg
 
TigerCage+1988-29-b.jpg
 
Back
Top Bottom