Wachawi wanikosesha usingizi usiku wa leo

Wachawi wanikosesha usingizi usiku wa leo

Hayajakukuta,hata mleta mada alikuwa haamin na baada ya vimbwanga sasa kaleta mrejesho,uchaw upo na ni hatar



Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Aiseeh upo kabisaaaa...mtaani.ila serikalini haupo
 
Na imani nyote ni wazima.
Moja kwa moja kwenye mada.

Ndgu zanguni hapo kabla nilikuwa nilikuwa siamini kuna wachawi ingawa nilikuwa nikisikia watu wakisema.
Hapo kabla nilikuwa nikiota ndoto mbaya sana na wakati mwingine nikijikuta natoka nje bila kujua usiku wa manane wakati huo nakuwa siko ktk hali ya kawaida kbsa.naweza kusema ni Mungu tu.

Ile hali ya ndoto mbaya ikawa inazidi nikaanza kwenda kwenye maombi.nilipoanza maombi ni kama nilizidisha nilikuwa nikiota ndoto mbaya nyingi zikiwa za mijoka mikubwa yenye rangi ya gold na yellow.nikalifikisha kwa mchungaji nikafanyiwa maombi ile hali ikawa inapotea kidogokidogo.ikafikia hatua naota mara chache sana.kwahiyo nikawa najisimamia mwenyew kukemea hizo ndoto

Jana usiku nikawa namsikiliza mwakasege saa tatu usiku(huwa ni utaratibu wangu wa kusikiliza mahubiri yake).lakini jana ile anaanza nikapata usingizi ghafla nakuja kustuka anamalizia.nikalala.

Sasa usiku wa saa saba hivi usingizi ukakata kabisa lkin nikawa nasisimkwa mwili isivyokawaida.najionea giza tu hapo niko macho kumbuka baadae nikawa naona uso wa mtu ila una jicho moja lipo ktkt ya kipanda uso na majitu kama mazombi ya kwenye movie.hee!!ikabidi kiamke nikatoka nje nili niwaamshe majirani.ikumbukwe sina usingizi kabisa na wala sipo ndoton.

Wakati naelekea kuwaamsha majiran nikakumbuka nina maji ya baraka ndani ikabidi nirud nijimwagie maji ya baraka kitanda na sehemu zote za chumban.nikarudi kulala.yani ni kama nimeyafungulia sasa yakaja upya na makucha juu ila kwa sasa yalikuja kama vile naota lkni niko macho kabisa.mwili mzimaaa ulikuwa unasisimka upande wa kushoto na kulia naona giza kabisa.kweli niliogopa sana.

Kilichonichanganya zaidi ni ule uso wa yule mtu.ni sura ya mtu ninaemfahamu tena ni mtu wangu wa karibu kabisa na mimi.kweli katika hali ya kibinadamu naogopa jmn wakti mwingine.naogopa hata kuingia ndani jmn.

Poleni kwa urefu wa uzi.nimeona nishee nanyi hiki kilichonisumbua usiku wa leo.
Huyu mtu wako wa karibu unayesema anafafana na alikuvamia usiku na yeye ANA JICHO MOJA?,kama hana jicho moja acha kusingizia watu

ploudly ngosha
 
Sali, funga na kuomba.
Jikabidhi kwa Yesu totally, hii hali itapotea kabisa. Jina la Yesu ndiyo kiboko ya hayo mambo yanayokusumbua.
Hiyo sura ya rafiki si yeye, ni mbinu za wachawi kujificha.
Achana na Maji ya baraka, hiyo ni Tiba mbadala, ukitumia hayo Maji ndo unawaongezea nguvu wachawi.
Samahani kwa niliyemkwaza.

Sent from my Infinix HOT 3 using JamiiForums mobile app
Hujanikwaza mkuu asante kwa ushauri.naimani hakuna atakaekwazika kwa ulichokisema kama akiielewa comment yako vizuri
 
Huyu mtu wako wa karibu unayesema anafafana na alikuvamia usiku na yeye ANA JICHO MOJA?,kama hana jicho moja acha kusingizia watu

ploudly ngosha
Sijui kama umeelewa uzi!!labda nikurahisishie tu.sura ya huyo mtu ndo mwenye jicho hilo.
 
Wacha niendelee na maombi nikue kiimani ili niweze jisimamia.hata nikilala kwa mchungaji haitosaidia mkuu bila kuwa na imani

jamaa piga kambi kanisani kama vipi sasa mambo gani hayao badala kulala usingiz unaweweseka
 
Hivyo vitu vipo ndani ya akili yako siyo rahisi mtu wa nje akaweza viona
Kutatua Changamoto hizo
1.Usiwe mkristo wa jumapili tu
2.Anza kufahamu asili yako maisha ya wazazi na babu ni nini kilichofanyika tangia wakati unazaliwa hadi hapo hupo
3.Elewa unapokuwa unaomba au unasikiliza Mahubiri yaani kama unayaamsha na moto mkali alafu yanajitokeza kukuzima ili usiendelee kaza spidi nunua bible
4.Anza kuwa mfungaji hata mara moja kwa wiki soma na tumia zaburi 35, 91
5.Ratiba nyingine ya mwakasege ni 107.5 Upendo Radio kuanzia saa 3 ucku...Jumamosi na Jumapili
6.Be commited to God Jitoe mzima mzima ukiwa unabipu una hatari kweli.
 
Hivyo vitu vipo ndani ya akili yako siyo rahisi mtu wa nje akaweza viona
Kutatua Changamoto hizo
1.Usiwe mkristo wa jumapili tu
2.Anza kufahamu asili yako maisha ya wazazi na babu ni nini kilichofanyika tangia wakati unazaliwa hadi hapo hupo
3.Elewa unapokuwa unaomba au unasikiliza Mahubiri yaani kama unayaamsha na moto mkali alafu yanajitokeza kukuzima ili usiendelee kaza spidi nunua bible
4.Anza kuwa mfungaji hata mara moja kwa wiki soma na tumia zaburi 35, 91
5.Ratiba nyingine ya mwakasege ni 107.5 Upendo Radio kuanzia saa 3 ucku...Jumamosi na Jumapili
6.Be commited to God Jitoe mzima mzima ukiwa unabipu una hatari kweli.
Asante sana mkuu ubarikiwe mno..nitafanyia kazi kuhusu kizazi chetu na historia yake.ubarikiwe mpka ushangae

Nashukuru pia kwa kunikumbusha hizo radio huwa nmfuatilia pote huko na akijaga hapa dar nijitahidgi kutokukosa mahubiri yake.

Tukijaaliwa uzima na afya mwezi wa tisa akija nitakuwa kwenye mahubiri yake
 
jamaa leta kiti moto kidogo mifupa yake, bangi hata puli tatu zinatosha huwez ona mauza uza jamaa, vitunguu swaum pia
Asante sana mkuu.nitafurahi nikijengeka kiimani zaidi kuliko hizo mambo nyingine.

Najaribu kuwaza tu siku nikisafiri kwenda kwa watu na kulala huko je nitayabeba hayo makorokoro pia??.ngoja nijitahidi nikue kiimani kwanza.

Asante sana kwa kujali
 
Back
Top Bottom