Mmh,, tatizo jamii hatuwi wakweli utakuta askar katimiza wajibu wake lakini kwa vile umetendewa haki sasa unaanza kutafuta njia ya kuwachafua,,,jamani tuwaache askar watimize wajibu wao kuliko kuanza kuwakatisha tamaa,,,,,ww inaonekani utaki kutii sheria bila ya shuruti sasa umeshurutishwa...