Kashfa mpya jeshi la polisi

Kashfa mpya jeshi la polisi

Teh teh teh hao mapolisi wanachekesha sana yaani wanataka kutuundia jeshi lingine mtaani ili litumalize wananchi? Ebu fikiri hao wenye vyeti feki ndiyo hao wanaopambana na majambazi mtaani ina maana wanataaluma kubwa kuliko majambazi je wakifukuzwa hali itakuaje maana elimu yao ni bunduki tu ambayo wameipata ccp?. Naliomba jeshi la polisi lifikiri vizuri zaidi maana tokea wawafukuze wale askari wengiwengi miezi kazaa iliyopita ujambazi umerudi kwa kasi kubwa sana.
 
ambae hajawahi kughushi mahali ajitokeze? wanawaoneawatu walijitahidi kwa hali na mali kutafuta ajira.

wangeanza na hao mabosi wanaoghushi sahihi za cheque au posho....then ndo waamkie hawa maskini wanaotumia vyeti vya wenzao.
 
Usiseme hivyo mkuu. Huoni kama wangeachwa wastaafu halafu wawe makini kwenye ajira mpya tu??!

ndio ustaafu kwa hiari sasa,utakuwa poti wewe na umeshikwa pabaya
 
ambae hajawahi kughushi mahali ajitokeze? wanawaoneawatu walijitahidi kwa hali na mali kutafuta ajira.

wangeanza na hao mabosi wanaoghushi sahihi za cheque au posho....then ndo waamkie hawa maskini wanaotumia vyeti vya wenzao.

Two wrongs don't make a right!
 

Na atakuwa jambazi kweli. Pata picha mtu aliingia jeshini na cheti cha ndugu yake cha form iv miaka 20 iliyopita. leo hana kazi hata kulima hajui maana kila siku yupo doria na lindo na anti-robbery... #think

Hata wakiondoka kitengo cha intelijensia kinabidi kuwa na taarifa zao wote na kujua wako wapi na wanafanya nini...

ndio ustaafu kwa hiari sasa,utakuwa poti wewe na umeshikwa pabaya

Majibu yako yanakinzana..lipi serious na lipi utani!??
 
wawaache watu watafte rizki, kama tuna mawaziri wenye vyeti feki, askari ana ubaya gani? kama ameweza kufanya kazi kwa ufanisi mwache aendelee na kazi. Tena waondoe ukomo wa elimu kwa kazi hizi, ubaki kwa askari wa ngazi za juu tu.
 
"siku za mwiz 39, ya 40 anakamatwa, hii yote inaxababishwa na 10% na undugulization" usilaumu matokeo, dhibiti utokeaji!
 
nchi nzima polisi wote 35,000+, wenye degree hawazidi 3000, wenye vyeti vya kufoji ni kama 10,000...nchi yetu kwa viwango vya kimataifa ilipaswa kuwa na polisi 92,000.

Kwa hiyo waliohalali now ni kama 25,000.

Personally IGP MANGU NA DIGP PAMOJA NA MAOFISA WENGINE AMBAO NI 'CLEAN' safu yake aloanza nao kazi nawapongeza sana ngoja tuone kwanza negative impact.
 
Kagame alishngaa sana hiyo akajiuliza mwiziunampa muda arudishe??? Akaomba wiki.mbili akipewa tz anasafisha wizara zote nakurudikwao
Ukweli ni kwamba CCM wamezembea sana suala hili na wala hawawezi kufanya chochote ila mimi ninamtanzamo kwamba Rais Kagame anaongoza eneo sawa na Bukoba na eneo hilo lina makabila mawili tu ambapo kagame ameshindwa kuongoza na amebaki kuua!!
 
igp mangu sioni kama amekurupuka kwa hili nahisi alikaa na watunga sera wa jeshi la polisi wakaongea kuhusu swala hili, huwezi jua nn kimesababisha afanye maamuzi haya ambayo ni mazito na wengi wataumizwa , hao watoto zao ndio wasumbufu wakubwa walevi kupindukia ,wanashirikiana na majambazi, watu wanapokuja na maswala ya uzalendo, mnafumbia macho wapo mabosi waliofoji na hao ndio wanawanyima ruhusa wenye vyeti vyao halali kwenda kusoma. .nilisoma wasifu wa mangu cdhani kama ni mtu ambaye anataka ubabaishaji .
 
Lo!kuna jamb yangu ni polisi pale central anaitwa Atabi huyu nae ana cheti cha kunjunga kapata pesa sana kupiti jeshi la polisi
 
Eti limtu lina cheti bandia liachwe liendelee na kazi kwa kuhofia eti litakuwa jambazi. Ni ujinga na upumbavu kufikiria hivyo. Watakaopata nafasi hizo ndio watakaowadhibiti hao wezi wa vyeti.
Hakuna vyombo vya ulinzi mpaka vya kudhibiti hao majambazi?? Hii nchi na mijitu yake ni ya kijuha kabisa.
 
ambae hajawahi kughushi mahali ajitokeze? wanawaoneawatu walijitahidi kwa hali na mali kutafuta ajira.

wangeanza na hao mabosi wanaoghushi sahihi za cheque au posho....then ndo waamkie hawa maskini wanaotumia vyeti vya wenzao.

Mi sijawahi kughushi. KAMA ULIGHUSHI WEWE USIDHANI NI WOTE. Koma kama ulivyokoma kunyonya titi la mama yako.
Nadhani nawe ni miongoni mwa hao mapolisi wagushi wa vyeti. Pisheni vijana wasomi waingie wapige kazi na kuwadhibiti hao mnaodhani kuwa watakuwa boko haram.
 
hao askari mbona wapo wengi sana,pale moshi wapo kama 60,baadhi wanatumia vyeti vya ndugu zao WP. ROSE,WP. SUBIRA na hata baadhi walikuwa ma-house girl wa wakubwa jeshini lakini waliingizwa jeshini kama fadhila,chagonja akiwa CCP aliokota wauza baa wengi na kuwaingiza CCP 'walimlipa ngono.

mke wa OC-CID rombo afande majebele alikuwa house girl kwa mkubwa mmoja ndani ya jeshi la polisi naye alipelekwa CCP licha ya kluwa hata darasa la saba hakumaliza,hebu waanzie hapo kufumua mtandao wa polisi wenye vyeti feki

Mkuu Chagonja ndo anatajwa kuwa ring leader hata sakata lililomtoa Chalamila,,yaani walifanya kumtoa mbuzi wa kafara. Mke wake Chagonja pia tapeli mkubwa kabisa
 
Mkuu Chagonja ndo anatajwa kuwa ring leader hata sakata lililomtoa Chalamila,,yaani walifanya kumtoa mbuzi wa kafara. Mke wake Chagonja pia tapeli mkubwa kabisa

watoto wa chagonja nao ni wagushi vyeti wazuri nawajua vizuri nimesoma nao f4 wamefeli vibaya but sasa wana vyeo vikubwa tuu.
 
Back
Top Bottom