CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,074
aa wapi wanaongeaga ujinga handas ikipanda mi nawafaham vizuri
Ujinga sawa na wa mtu aliyelewa pombe?
aa wapi wanaongeaga ujinga handas ikipanda mi nawafaham vizuri
Kama ndio mara ya kwanza kufika Moshi au Arusha utashangaa sana, vijana wanakula majani kama mbuzi...Hatari sana kumbe sio majani ni Mirungi!!!
Huku polisi sio wakali kabisa juu ya utafunaji majani haya, na uuzaji wa mirungi maarufu kama "Miraa".
Na wauzaji wanafahamika na mitaa wanayouzia inafahamika. Ila hakuna mkono wa sheria juu yao.
Kwa wanaojua nini madhara ya matumizi ya mmea huu?? Na kisheria Tanzania inaruhusiwa kuliwa na kuuzwa??
Inauwa mzigo

Arusha hizo mambo ni kawaida. Pale kwenye mnara wa Azimio pendwa la Arusha kwenye mifereji au ukiivuka watoto wadogo kabisaa wanatafuna miraa baraa na ile kitu maarufu "cha Arusha" na hakuna anayechukua hatua!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hivi hii kitu inaongeza nini ktk brain?pesa hiyo kaka,ukipata ziko km hilo hapo una M2.5-3.
Wenzetu wa Kenya mirungi aka MIRAA kwao ni zao la biashara kuna ndege maalum zinazosafirisha mirungi kwenda ulaya, america, china, pakistani, yemeni, saudia kwa mfano kuna ndege 3 zinapeleka mirungi JAMHURI YA WATU WA SOMALILAND, NA NYINGINE INAPELEKA SOMALIA, DJIBOUT. SISI TUMELALA TU NA MIRUNGI YETU INAYOPATINA KOROGWE, SAME NA LUSHOTO KAMA NASISI TUNGESAFIRSHA TUNGEPAT PESA NYINGI KWA WAKULIMA WETU WANO LIMA MAENEO YA MOMBO & SAME TANZANIA tuna product zuri sana, kama vile Shamba rungu, maua, hizi zingewasadia sana wananchi wa maeneo ya korogwe na same , mwanga, lushoto. Kuna watu wamekula hii kitu kwa miaka zaidi ya 70 na hawakupata madhari, stimu yake piya haimusiri mtu kwenye kazi zake
Gombaaaaa!!!! Hakuna kama gomba....Mleta mada sema hujawahi onja hii mambo....Unatafuna na Big G pembeni unasoda ya Sprite...Ni laana tupu..
Inaongeza uwezo wa kufikiri kwa umakini...Hivi hii kitu inaongeza nini ktk brain?