Baada ya kushindwa kulipa mikopo ya wanafunzi, sasa serikali haina hela ya kulipa mishahara

Yuko wapi yule first class economist wa BoT, aje atueleze ni kwanini hadi leo 26/05 watumishi wa serikali hatujapokea mishahara yetu na wengine tumeandikiwa matangazo mishahara ya mwezi May itachelewa?!
 
Uzushi mtupu,watu tumelamba MKWANJA LEO 26/5
 
Tayari baadhi ya taasisi zimeanza kuwaandikia barua wafanyakazi wao kuwajulisha juu ya kuchelewa kwa mishahara ya mwezi wa tano.
Ngoja nikaangalie notice board, nikilikuta tangazo nasepa home nikajiliwaze kwenye banda langu la kuku
 
Hivi hawa jamaa wana ajenda gani na mishahara yetu mwezi huu? Yaani hadi leo bila bila, jamani twafaaaa
 
Back
Top Bottom