Kimsingi aliyeleta huu Uzi Anatola kumharibia mbise biashara. Mbise yeye ndio WA kwanza kuanzisha kitimoto BUSWELU center. Mbise yeye anajishuhulisha na kitimoto tuu. Na siyo supu . hapo kwa msukuma kuna majiko mawili .Jiko la kwanza ndio la kitimoto analoendesha mbise. Jiko la pill ndio la supu...
Niwale walionunua friza dukani kwake wakalipakia kwenye gari yao wakaondoka baada dakika chache wakarudi na kumuomba panjuani awahifazie wakarekebishe Gari lao kumbe walifungia mwizi ndani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.