Kikosi cha Mabushi stars cha enzi zile

Kikosi cha Mabushi stars cha enzi zile

Gari ya Lodi lofa ilikua ikitumia uji wa unga WA mhogo kama petroli
 
  • Thanks
Reactions: e2n
Obi na Linda Mzee ole kulikuwa na mtu anaitwa riwa,kuna mtoto seba daaa nakumbuka Mzee mayuku kwenye story ya kisiwa cha mayuku,kulikuwa na mtu anaitwa chino hata apigwe risasi vip lazima akufikie hafi kwa risasi yule kukawepo ba story ya wimbi la kitintare
 
Screenshot_2017-03-27-09-03-38.jpg
 
Yan huu uzi ni jarida tosha la sani naomba msiufunge jaman kuna wengine wana vipande vya mechi kati bush stars na born town
 
Sijamuona ndumilakuwili (mwizi na tapele maarufu). Sijamuona Mzee kifimbo cheza (Mzee Wa kurekebisha lugha mbovu za kitaa). Sijamuona Doctor Love (kipenzi cha wadada Wa sani)...[emoji13] [emoji13]
Dr Love na Lord Lofa ni team ya ma-born town.
 
Namkumbuka mchoraji katuni wa gazeti la Sani alikua anaitwa John Kaduma,huyu jamaa alikua na kipaja cha kipekee kabisa,sijui yuko wapi siku hizi?
Clever King. Muanzilishi wa uchoraji hii ni katuni ni marehemu Philip Ndunguru. Hawa kina John walikuja baadae
 
Hahaha huu uzi umenianzishia vizuri siku yangu
Mapung'o the golden boy
Comrade kipepe
Baba ubaya mzee wa kujenga vibanda hahahaha
 
wapi kiokote, njomba nchumari, Bob mikwara, na story za mapenzi na ujambazi/ ujasusi
 
Back
Top Bottom