Napajua vizuri sana Mbuyi wa Mjerumani lakini hakujawahi kua na Mbuyi wenye Sura hiyoHapo mahali mpk Leo panaitwa mbuyu wa mjerumani... Mleta maada yupo sahihi kbs %100
Kwikwikwikwi kwani hiyo sura inafanana na nini labda........Napajua vizuri sana Mbuyi wa Mjerumani lakini hakujawahi kua na Mbuyi wenye Sura hiyo
hahaha, umesababisha asubihi yangu iwe mujarabu na hii baridi
Ni mbuyu kweli huu or?
Ni Mmbuyu mkuuNapajua vizuri sana Mbuyi wa Mjerumani lakini hakujawahi kua na Mbuyi wenye Sura hiyo