Gamboshi mkuuHivi Tanzania hatuna mji wa siri ambao haupo kwenye ramani?
Nalog off
Gamboshi mkuuHivi Tanzania hatuna mji wa siri ambao haupo kwenye ramani?
Nalog off
Zungumzia silaha za jeshi lenu sasa!Tatizo lenu nyinyi mnataka kuleta mabishano ya ki Bavicha kwenye hii forum.
Nendeni mkasome kuhusu Cold War kati ya Russia na USA hapo ndipo mtaelewa historia ya dunia hii.
Ahsante sana king ozGamboshi mkuu
Kumbe wewe umeleta mipasho na vijembe vya ki-ccm???Tatizo lenu nyinyi mnataka kuleta mabishano ya ki Bavicha kwenye hii forum.
Nendeni mkasome kuhusu Cold War kati ya Russia na USA hapo ndipo mtaelewa historia ya dunia hii.
Lazima Usa ifyate mkia kwa mnorth korea weweManeno miiiiingi!!!
Wenzao wanafanya kwa vitendo.
F-35 stealth bomber zinafanya mazoezi UK tayari kuungana na madege mengine huko pwani ya korea.
Warusi wakacheze Judo na wachina wakacheze taekwando au kung-fu
Mambo ya kibabe wawaachie wenye mbavu ie USA.
Huko huwezi kunifundisha kwani hata Nuclear physics na Radar chuo kikuu NimesomaKwakuwa hujui usemalo mi ntakuacha tu,ila kama unataka elimu kuhusu mambo ya kivita basi weka wazi na mi siyosita kusema nijuacho.
Kwakuwa hujui usemalo mi ntakuacha tu,ila kama unataka elimu kuhusu mambo ya kivita basi weka wazi na mi siyosita kusema nijuacho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]By conspiracy theories Pakistan anaweza but kwA vitendo waulize Hawa hapa
Iraq, Syria, Misri, Iran, and the rest Middle East au ni mzee wa kupokea matangopoli ya Putin..... eti anabom LA Kuinamisha sink France na UK sijuw putin saiv kahamia Lumumba?
Kusoma kitu flani chuo hakukufanyi uwe bora au uelewa zaidi ya kila mtu katika jambo hilo ila inakisaidia tu kujia sehemu ndogo sana ya jambo hilo kwa kiwango flani.Huko huwezi kunifundisha kwani hata Nuclear physics na Radar chuo kikuu Nimesoma
Usijali hapa tunaelmishana au sioKusoma kitu flani chuo hakukufanyi uwe bora au uelewa zaidi ya kila mtu katika jambo hilo ila inakisaidia tu kujia sehemu ndogo sana ya jambo hilo kwa kiwango flani.
Wahenga sio wajinga kwa kusema elimu haina mwisho.
So jitafakari na ukiona unaitaji elimu zaidi basi njoo kwangu nikujuze.
International military power mattersNaishi Kolomije ila napenda kuwaelimisha people like you who doesn't know anything about international military power.
Acheni uongo nyieMpaka sasa hakuna air defence kali kuizidi SM-3 ya mmarekani ambayo range yake ni 2500km wakati S400 ni 400km na hyo S500 itakua 600km. Hii SM-3 ni ya ushirikiano kati ya Japan na US SM-3 block IIB imefanyiwa majaribio mwaka huu mwez February au March kama sikosei. Na inauwezo wa kutungua kombora hata likiwa nje ya dunia. Speed yake ni Mach 15+.
Uongo hupingwa kwa ukweli. Leta ukweli wako hapa.Acheni uongo nyie
PropagandaUongo hupingwa kwa ukweli. Leta ukweli wako hapa.
Wenzio washasepa siku nyingi, chezea mapanki wewe? Dogo kasema sitishiwi nyau! Marekani akageuza mimeli yake degree 180°! SAA hii keshatokomea kitambo!Maneno miiiiingi!!!
Wenzao wanafanya kwa vitendo.
F-35 stealth bomber zinafanya mazoezi UK tayari kuungana na madege mengine huko pwani ya korea.
Warusi wakacheze Judo na wachina wakacheze taekwando au kung-fu
Mambo ya kibabe wawaachie wenye mbavu ie USA.
Stealth huwa hazionekani na adui hasa zinapokuwa kwenye mpango wa hujuma.Vipi mkuu hizo Jet zilizopo UK kuelekea Pwani ya Korea zimeishia wapi?
Naamini hujui maana ya "stealthy"Wenzio washasepa siku nyingi, chezea mapanki wewe? Dogo kasema sitishiwi nyau! Marekani akageuza mimeli yake degree 180°! SAA hii keshatokomea kitambo!