mbona watu mnatoka mapovu? kama wewe una andaa well and good lakini zipo scheme zimeandaliwa na huwa zinasambazwa esp za masomo ya science. Wee endelea kuumiza kichwa life is not as complicated as u think!!. sijaomba lesson plans. kwani scheme si ni kupotezeana muda tuu kuedit syllabus na...
Natafuta scheme of work za somo la geography kuanzia kidato cha 1-4 na geography ii ya A level.
Scheme iwe soft au hard copy. kama kuna aloyenazo au anafahamu stationery zinakopatikana ama anafahamu aliye nazo twaweza wasiliana simu/sms 0766369445 whatsup 0713390402.
Thanks in advance.
habari wakuu!
naomba msaada wa kuweza kuunga laptop na copier canon ir3300 "n" ili niweze kuprint direct nimeshapata crossover cable ila nashindwa jinsi ya kufanya installation na driver zipio nitumie maana cd ya copier ina driver folders nyingi tuu na setting za kufanya kwenye control pannel ni...
habari ya asubuhi wakuu.
Nimedownload irfanview na kuinstall nikadownload riot plugins lakini kila nikijaribu kuresize picha inaniletea pop up inayosema "cant load plugln RIOT.DLL
please install or update pluglns from irfanview homepage."
naomba kueleweshwa nifanye nini maana riot ninayo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.