Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Unafanyika TINDIGANI-KIMANDOLU nyuma ya shule ya sekondari Kimandolu au Kijenge juu-Tindigani, Karibuni wote.
 
hii sasa balaa kweli hakuna kulala

Kaka ivi balaa unaiona wapi. Hizo sehem zote ni sehem ambazo cdm wanakubalika. Unazungumzia Arusha na Kilimanjaro,mbeya mjini na ilemela pia na Dar? Mbona bara mikoa ni mingi sana. Sasa unadhani mwaweza enda magogoni kwa kura za mikoa 5 kaka.

Mie nacho shauri vyama vyoote pigeni promo ila sie wapiga kura tusio wanavyama wenu tutakayo yaamua oct mlizike nayo na mtulie maisha na mishe ziendelee. Sio muanze kutuletea vurugu.
 
Arusha is all about Chadema, ndicho nijuacho.

Ninachojua, iwapo dar ilisimama kwa masaa kumi bas leo arusha ni holiday kabisa.

Fanyeni hivo wanaarusha kazi ndo ilshaanza hivyo, hatuachi hata pumba, kwani tukishinda kwa 91% ni dhambi?
 
Nyie jopo huwa hatuwasomi mnarepotia wapi? Jana Tuko ndiye katupa report toka Mbeya au naye mko team moja?

Kweli mkuu jana nililazimika kuokoteza picha zilizokuwa zinarushwa humu kuziweka kwenye post yangu pale
Hata hivyo nashukuru Moderator walikuja kusaida kuipanga ile post na kuweka picha updates mpya...
 
Last edited by a moderator:
Crook hujaelewa mkuu? ni viwanja vya Tindigani- Kimandolu so kama upo Kisongo anza kusogea town coz Jam ya leo itakuwa shida
 
Wanaenda kusikia MAMA NTILIE, BODABODA, MACHINGA. ignorants
 
Kaka ivi balaa unaiona wapi. Hizo sehem zote ni sehem ambazo cdm wanakubalika. Unazungumzia Arusha na Kilimanjaro,mbeya mjini na ilemela pia na Dar? Mbona bara mikoa ni mingi sana. Sasa unadhani mwaweza enda magogoni kwa kura za mikoa 5 kaka.

Mie nacho shauri vyama vyoote pigeni promo ila sie wapiga kura tusio wanavyama wenu tutakayo yaamua oct mlizike nayo na mtulie maisha na mishe ziendelee. Sio muanze kutuletea vurugu.

Tulia bado kampeni haijaaza, watazunguka mikoa yote ujionee mwenyewe mafuriko. Tulia hivyo hivyo
 
Kaka ivi balaa unaiona wapi. Hizo sehem zote ni sehem ambazo cdm wanakubalika. Unazungumzia Arusha na Kilimanjaro,mbeya mjini na ilemela pia na Dar? Mbona bara mikoa ni mingi sana. Sasa unadhani mwaweza enda magogoni kwa kura za mikoa 5 kaka.

Mie nacho shauri vyama vyoote pigeni promo ila sie wapiga kura tusio wanavyama wenu tutakayo yaamua oct mlizike nayo na mtulie maisha na mishe ziendelee. Sio muanze kutuletea vurugu.

Haya ni maoni ya mtu asiye na chama kabisaa!
 
Back
Top Bottom