Natafuta scheme of work za Geography zilizoandaliwa

Kitaeleweka

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
394
88
Natafuta scheme of work za somo la geography kuanzia kidato cha 1-4 na geography ii ya A level.

Scheme iwe soft au hard copy. kama kuna aloyenazo au anafahamu stationery zinakopatikana ama anafahamu aliye nazo twaweza wasiliana simu/sms 0766369445 whatsup 0713390402.
Thanks in advance.
 
una shiling ngap nikuandalie za o level? nafundisha geo...ninazo za baadhi...tukikubaliana nakuandalia za i-iv
 
Walimu wengine hawa majipu.
Kwa hiyo hujui kuandika scheme of work. Hiyo ni sehemu ya kazi yako kama mwalimu na ukisema huna muda sasa unakazi gani wakati A good teacher Should interact with syllabus through preparing a scheme of work.
 
Mkuu umesoma Kweli huo UALIMU!!??? Acha uzembe andika Scheme of work yako na lesson plan... Afu wadogo zetu ufundishe Vizuri MKUU....
 
Wewe ualimu kazi na siku zinavyoenda kazi y ualimu itakuwa kazi ya kudharsulika sana, serikali haithamini ka zamani. Mwalimu anapigwa bakola na Waziri, serikali hailip madeni ya walimu, wamesahau ya kwamba teacher makes all other professional
 
nnayo ya la6 nakupa bure uchungulie uunde yakwako unaonaje
 
Walimu wengine hawa majipu.
Kwa hiyo hujui kuandika scheme of work. Hiyo ni sehemu ya kazi yako kama mwalimu na ukisema huna muda sasa unakazi gani wakati A good teacher Should interact with syllabus through preparing a scheme of work.
We ni mwalimu uchwaraa! !!
Hakika.Inashangaza anataka zilizoandaliwa wakati kuna mahali ubinifu wa mwl katika kulifanya somo lieleweke
 
Mkuu umesoma Kweli huo UALIMU!!??? Acha udhembe andika Scheme of work yako na lesson plan... Afu wadogo zetu ufundishe Vizuri MKUU....
Mkuu kuna vyuo hawafundishwi namna ya kuandaa scheme of work.Amini kabisa na baadhi yao wako vyuo vyenye majina makubwa nao hutembea kifua mbele kisa jina la chuo.
 
We mwl ni mzigo kwa serikali, wanafunzi wako na familia.
Kwa nini hujaandaa ya kwako?
Unatuibishe.
Ninayo ya English from I-IV. Unaweza mpelekea mwl wa taaluma. Naamini hatajua kuwa hiyo scheme of work ni ya Eng o-level
 
Natafuta scheme of work za somo la geography kuanzia kidato cha 1-4 na geography ii ya A level.

Scheme iwe soft au hard copy. kama kuna aloyenazo au anafahamu stationery zinakopatikana ama anafahamu aliye nazo twaweza wasiliana simu/sms 0766369445 whatsup 0713390402.
Thanks in advance.
Mkuu upo shule gani nikuletee?
 
Natafuta scheme of work za somo la geography kuanzia kidato cha 1-4 na geography ii ya A level.

Scheme iwe soft au hard copy. kama kuna aloyenazo au anafahamu stationery zinakopatikana ama anafahamu aliye nazo twaweza wasiliana simu/sms 0766369445 whatsup 0713390402.
Thanks in advance.
Acha uvivu wewe scheme of work haiandaliwi na MTU mwingine zaidi yako wewe
 
mbona watu mnatoka mapovu? kama wewe una andaa well and good lakini zipo scheme zimeandaliwa na huwa zinasambazwa esp za masomo ya science. Wee endelea kuumiza kichwa life is not as complicated as u think!!. sijaomba lesson plans. kwani scheme si ni kupotezeana muda tuu kuedit syllabus na kuihamishia kwenye A3!! Achane kelele.
Acha uvivu wewe scheme of work haiandaliwi na MTU mwingine zaidi yako wewe
 
Back
Top Bottom