Recent content by KISWAHILI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

    Kila anapoenda Ulaya kazi yake ni kuomba vyandarua halafu anakuja kuwadanganya watz kaenda kutafuta wawekezaji
  2. K

    JamiiForums Tanzania Haya ndo anayoyapenda Rais Wenu

    Vitoto vya Nape vimejaa JF kushabikia Magamba
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mh. Werema amfundisha Lissu somo la sheria bungeni

    Vijana wa Nape!mnaingiza siku......ok!kazi njema...nilikuwa nawasalimia
  4. K

    JamiiForums Tanzania CV ya mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji)

    Ndio maana........sitokulaumu tena,sio makosa yako.Kumbe Mh. umeishia darasa la.....na ukiongea pumba/mvuke maprofesa(wa magamba) wanakupigia makofi....MLETA MADA HEBU TULETEE NA CV ZA MAPROFESA WA MAGAMBA/DHAIFU
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa bunge azidiwa kete na akina Lissu.

    Hawa manaibu spika wanapiga 'tempo' nn!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wabunge wa CHADEMA

    Simbachawene amepona mkono alioumia kule Singida?viongozi wa Mjengoni(wanaoliendesha) ni Dhaifu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

    Viwekwe hivo vikwazo ili Mh. Apunguze kuchafua Ozone layer kwa safari za kwenda kunywa chai nje na kuomba vyandarua.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    Tatizo lake ni 1 tu! Ana MATEGE ya kufikiri Sitomshangaa kabisa kama Mafuriko (ya mvua) yakitokea na yeye akasema Chadema wamesababisha
  9. K

    JamiiForums Tanzania *java games*

    Zaidi ya miaka 21,kwa nini umeniuliza umri mkuu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Habari, Michezo na Utamaduni apata Ajali

    Ataenda kupewa shangingi jingine au
  11. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ulimboka, Je Mnyika atasalimika?

    Liwalo na liwe
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Kutoa kauli Kuhusu Mgomo wa Madaktari kesho

    Mtoto wa mkulima
  13. K

    JamiiForums Tanzania Swala la Ulimboka kwa TBC sio habari!?

    Televisheni ya magamba/wadhaifu
Back
Top Bottom