Baada ya Ulimboka, Je Mnyika atasalimika?

Baada ya Ulimboka, Je Mnyika atasalimika?

Status
Not open for further replies.
Haiingii akilini kwa binaadam yeyote mwenye fikra japo kidogo, eti Serikali wakuchukuwe, wakupige, wakutupe Mabwepande halafu waje haki za binaadam kukuota.

UKiwa na system yenye vilaza na darasa la saba yote yanawezekana
 
Siasa za nchi chochote chaweza kufanywa na yeyote ili kujinufaisha kisiasa. Inachoweza kufanya serikali ni kufanywa uchunguzi na kuwabaini waliofanya jambo hili. Na hakika serikali ina mkono mrefu hao watu watatiwa tu nguvuni muda si mrefu na tutapata kujua ukweli na huo ukweli utatuweka huru.
 
Despair and frustration will not shake our belief that the resistance is the only way of liberation.

kwani myika ana mshiko gani kwa mafisadi? wakati ni mwenzao tu?
 
Come what may! (liwalo na liwe!), mnyika endeleza mapambano hata ukifa utaishi tena maana hawa wanaua mwili tu.aidha kiukweli mnyika mdogo wangu take care maana hawa jamaa hawana dini walimua rwegasira, kombe,kolimba n.k. Sembuse wewe?
Ushauri kwa pinda: Mzee wa kamati kuu a.ka.mzee wa liwalo na liwe, imefika wakati muafaka wa wewe kumuandika rais kuomba kuachia ngazi,maana huko tuendako ni kubaya.usije ukasema sikukwambia!
 
Kila kilicho na Pumzi kitaonja Mauti hata hao maharamia waliotumwa kufanya unyama huo kwa Malafyale Dr Steven Ulimboka nao watakufa 2, Then kuwa mtanzania kwa hali ilivyo mbaya na ya hovyo hakuna aliesalama. Ni Mungu 2 anaetulinda na si ccm na Serikali Dhaifu, Kila eneo watu wanalalamika ccm imekufa.
Nimeanza kuingiwa na hofu juu ya usalama wa wananchi wazalendo wanao pigania haki na rasilimali za watanzania dhidi ya watawala wa CCM walioinyonya nchi yetu kuliko wakoloni weupe walivyotuibia.
Madai ya madaktari ni ya msingi kabisa, kwa mfano kwa zaidi ya miezi 7 hospitali ya muhimbili haina CT scan, gharama ya kununua CT scan ni kama shilingi milion 250 tu. Serikali, kama isingekuwa dhaifu ingeweza kuahirisha safari moja tu ya Rais, badala yake aende waziri, fedha za safari zingetumika kununua vifaa vya hospitali. Mpango wa kumuangamiza Ulimboka unatia shaka zaidi kwamba Serikali yetu si tu dhaifu bali na ni goigoi, na iliyoishiwa fikra. Mhe. Mnyika aliposema rais DHAIFU, CCM puuzi, nilikuwa napingana naye. Lakini sasa si tu kwamba nakubaliana na Mnyika bali namtahadharisha Mhe Mnyika kuishi kwa uangalifu mkubwa. Tena ikibidi atafute walinzi wasiopungua SITA wenye weledi mkubwa wa ulinzi
 
Siasa za nchi chochote chaweza kufanywa na yeyote ili kujinufaisha kisiasa. Inachoweza kufanya serikali ni kufanywa uchunguzi na kuwabaini waliofanya jambo hili. Na hakika serikali ina mkono mrefu hao watu watatiwa tu nguvuni muda si mrefu na tutapata kujua ukweli na huo ukweli utatuweka huru.
Mkuu nilikuwa naamini kwa kupiga gwanda la kikamanda,unajua angalau kidogo mambo ya ulinzi na kuimarisha usalama.
kwenye ulinzi kuna kitu kinaitwa defending by attacking and attacking by defending! jifunze hiyo utaelewa watu wanachosema.NB hii si ile ya kwenye football,usichanganye
 
Mkuu admiral elect gwanda hilo lina maana kubwa. Katika medani za kivita adui yako anaweza kufanya chochote ili uonekane wewe ndiye uliyefanya na ushutumiwe. Kama unayajua haya mambo basi umenielewa na kama huyajui basi soma mbinu za medani.
 
Last edited by a moderator:
Siasa za nchi chochote chaweza kufanywa na yeyote ili kujinufaisha kisiasa. Inachoweza kufanya serikali ni kufanywa uchunguzi na kuwabaini waliofanya jambo hili. Na hakika serikali ina mkono mrefu hao watu watatiwa tu nguvuni muda si mrefu na tutapata kujua ukweli na huo ukweli utatuweka huru.

kimbunga
hao maofsa waliomfanyia unyama ulimboka unadhani wapo nchini muda huu? thubutu!
 
Mkwawa walimua wakaamua kubeba na kichwa chake.Lakini walibuka akina Nyerere,Kwame Nkuruma,salmola machela
Some history kama hamjalewa madaraka na utajiri wa kifisadi.
Nasema mnaamini ngiza

Huo mfano unajitosheleza kimsingi.
 
Mnyika lazima afee tu kwani yeye mungu bwana.Siku zake zikifika lazima aende tu na huwezi kufa kama siku zako hazijafika
 
[h=2]kikwete ni mnafiki no 1[/h]
Tangu tupate maraisi hatujawahi kuwa na rais mnafiki, mzembe,dhaifu na ndumila kuwili kama kikwete uendeshaji serikali yake umejaa fitina dhihaka na upuuzi mwingi anyemshabikia huyu naomba aweke haya maelezo kwa kuprint au kucopy na baa ya 2015 mtaona kwa nini tz imefika hapa ilipo ni sababu ya huyu mr dhaifu hakuna alichowahi kuongoza kikafanikiwa zaidi ya kutengeneza makundi ndani ya chama na nchini ili awe madarakani kirahisi mungu ibariki tanzania kwa haraka sana tuondokane na huyu mnafiki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom