Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

Status
Not open for further replies.
Yeye mwenyewe wala hajali. Uingereza alienda kufanya mkutano na Kamati Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Kweli Tanzania ni BIG COUNTRY...
Z

Unamaanisha Jk alimwakilisha Mheshimiwa Spika wetu Mkuu?
 
Kafanywajwe, wapendwa na yeye kaenda jimboni kwake Uingereza?
Rais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!

uingereza5.jpg

Naibu waziri wa mambo ya kimataifa wa uingereza Stephen O'brien akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, ndg Jakaya Kikwete.
 
Wewe Mungi kama hujui diplomasia sema usomeshwe shule.........Kwani JK akienda USA huwa anapokelewa na Obama? Au uliwahi kuona wapi rais wako alipofanyiwa wema kuzidi UK? Hebu iangalie vizuri picha uliyotuwekea huoni kawekewa pipi? Wapi aliwahi kupewa pipi?
 
Mkuu,

JK hathaminiwi tena na ninashaka na uwezo wake wa kufikiri kwanini anashindwa kutambua Dharau afanyiwazo?
Hebu angalia jinsi alivyolimwa barua kali na Mbunge toka USA, hivi hii inaingia akilini kweli kwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa JMT kuandikiwa barua kali ya Karipio na Mbunge?

Ama kweli ukistaajabu ya Liwalo na Liwe utayaona ya Dhaifu. Hadhi ya Tanzania na hasa Ikulu imeshushwa na Awamu hii ya 4.
Domhome hebu ianike hiyo barua kutoka kwa huyo mdhungu wa USA basi.......tuone hilo karipio
 
Kila anapoenda Ulaya kazi yake ni kuomba vyandarua halafu anakuja kuwadanganya watz kaenda kutafuta wawekezaji
 
Anavopenda mabifu lazima atawalipizia. siku wakija atawatuma Lusinde, nchemba na manyanya airport.
Thubutu yake hajipendi? anavyopenda kupigiwa mizinga 21 na kupata vijimsaada kutoka kwa mama.......atajipeleka tu ka mbwa kaona chatu
 
upuuzi mwingine,sasa wew ulisikia kapewa mwaliko na cameron ama,hawa marais wa nchi za ulimwengu wa 3 huenda kule mara nyingi kwa maswala tofauti tofauti sasa kwa swala alilolifuata huyu waziri ndo mtu wa kumsikiliza na kulipeleka kunakostahili na usidhani maadam ni rais basi utapokelewa na david cameron kila unapotua wingereza itategemea nani kakualika ama una apoitment na nani na kwa mision ipi,nyie watu vipi jamani mbona mnahangaika na vitu vya kipuuzi saaana,jf jukwaa la majungu coz great thinker hawez anzisha mada isio na mashiko kama hii
 
tangu awe Rais yapata miaka 7 sasa ila tukukalikuleti siku ambazo hayupo nchini zinafika 1825 yapata miaka 6 ,sasa head of state haupo nchini kwako for seven years si upuuzi huu bora angepokewa na mzibua choo , hana analolijua mweee liwalo na liwe
 
Kila anapoenda Ulaya kazi yake ni kuomba vyandarua halafu anakuja kuwadanganya watz kaenda kutafuta wawekezaji

hivi kipindi kile alivyoenda Jamaica alienda kuangalia kilimo cha mihongo ndo wakawa wanabembea yeye na mkewe kule bustanini dah naona hata kwenye Genes book atawekwa sababu masaburi yamezidi bana
 
anachokitafuta atakipata tu
Bwana cameroun tusaidie aisee
 
Waingereza wengi wanamsema hivi
"Tanzania’s Jakaya Kikwete, re-elected to a second term last year, will step down in four years. Hobbled with the reputation of a lazy, foreign-trip-loving president who is soft on corruption, Kikwete seems to be busy sprucing his image.

Amidst signs that the long-ruling Chama Cha Mapunduzi is in the midst of a shake-up, Kikwete has been pushing some of the more controversial and scandal-tainted politicians off the cliff, or a few of them have saved themselves the humiliation and jumped

Na wengine wanamsema hivi

Tanzanians are tired of their president. A retarded womanizer, brain dead idiot constantly trotting the world leaving his country in the darkness. His people pray for an African version of Arab spring to topple jokers like him.

Wikileaks revealed how cheap Kikwete is; a whole head of state being bribed 5 suits and $1million.

How low? He is accused of being the master of all corruption. Never home attending even the most mediocre meetings his assistants could attend. They have even named him after the explorer "Vasco Dagama".

Africans will never progress as long as the likes of Kikwete keep on leading Africa''.

Well, may be that is the reason, or at least some of the reasons. But again, inategemea alienda huko kwa mwaliko wa nani. Kama ilikuwa ni ziara ambayo mwenyeji wake ni Waziri wa Maendeleo.... au afya au watoto na kina mama..., it is just fair.
 
Rais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!

uingereza5.jpg

Naibu waziri wa mambo ya kimataifa wa uingereza Stephen O'brien akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, ndg Jakaya Kikwete.

Unaona Picha Chini? nilikuambia hiyo ni Protocol kupokewa AIRPORT
PICHA chini yuko na David Cameroon

d3.jpg
 
Jamani huyu ni NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO!!! can you imagine!!!! Rais Mkuu wa Nchi na NAIBU WAZIRI...ni sawa na kulinganisha mlima na Kichuguu...kwa nafasi ya vyeo ila sasa kwa hapa ni tofauti...aibu saaanannnn...jamaa akiondoka madarakani nadhani tutakua tumepata somo kwamba sio kila mvaa kanzu ni sheikh..

Na siyo kila achekae anamaanisha kilicho moyoni mwake
 
Mungi Kiprotocal hiii haikuwa ziara rasmi ya serikali..au state visit..,so anaweza kupokewa na yeyote....,na hata kwenye state visit kwa nchi kubwa kama marekani na uingereza ...rais mgeni anapokewa na foreign officials ..na baadaye kufanyiwa official reception Ikulu ya white house au Buckinghum Palace......
Weee fikiri nchi kama Uk au US kwa siku kuna marais wangapi wanaingia na kutoka ......,kama transit au safari zao tu ..kama wote watatakiwa wapate audiance na head of state kama hapa basi ......Queen au Us president watakuwa wanashinda uwanja wa ndege kama Mkuu wa mKoa wa Dar...

Teh teh mwache ili atambue ulimbukeni wake wa omba omba wameuchoka aje atulie nyumbani atatue matatizo ambayo anaamini ni upepo tu yataisha huku yeye akilala na kukesha angani kama n..d..g..
 
Last edited by a moderator:
Hivi unafikiri waziri mkuu au malkia hawana kazi ya kufanya kila siku ni kumpokea tu
huyu mzururaji?Ujio wa kiongozi kwenye nchi yoyote inatumika pesa kama mafuta ya
magari,security n.k.Sasa wewe kila siku unakwenda huko si lazima watakuchoka?
Kwanza nina uhakika kuna siku atapokelewa na katibu kata!

Na hiyo siku nadhani haiko mbali, at the current rate!
 
Waingereza wengi wanamsema hivi
"Tanzania’s Jakaya Kikwete, re-elected to a second term last year, will step down in four years. Hobbled with the reputation of a lazy, foreign-trip-loving president who is soft on corruption, Kikwete seems to be busy sprucing his image.

Amidst signs that the long-ruling Chama Cha Mapunduzi is in the midst of a shake-up, Kikwete has been pushing some of the more controversial and scandal-tainted politicians off the cliff, or a few of them have saved themselves the humiliation and jumped

Na wengine wanamsema hivi

Tanzanians are tired of their president. A retarded womanizer, brain dead idiot constantly trotting the world leaving his country in the darkness. His people pray for an African version of Arab spring to topple jokers like him.

Wikileaks revealed how cheap Kikwete is; a whole head of state being bribed 5 suits and $1million.

How low? He is accused of being the master of all corruption. Never home attending even the most mediocre meetings his assistants could attend. They have even named him after the explorer "Vasco Dagama".

Africans will never progress as long as the likes of Kikwete keep on leading Africa''.

Ooooh, hii gumu bhana!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom