Recent content by KISIRIRI

  1. KISIRIRI

    Msaada wa namba ya OBAMA

    Ndugu zang jf naomba munisaidie namba au Email ya Rais Barack Obama ,nimechoka mno na nchii hii bora niwe house Boy wake. Maisha bongo co yenyewe kabisa msaada wenu jamani
  2. KISIRIRI

    Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

    <br /> <br /> usitangazee BIGBON wakikusikia
  3. KISIRIRI

    GE2010 Wabunge wasiotakiwa kurudi bungeni 2015

    Kwa mawazo yang kusiwepo kabisa na wabunge hasa wa ccm kwa sababu kaz yao ni ndiyoooooo........... Hata hoja za msingi wao kupinga tuu
  4. KISIRIRI

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Acha upuzi wako wakati unaona hujapelekwa beg party?? Anyway cha msingi subiri mkeo apate serengeti boys ukimfumania tuu kitambii automatic kitaisha , pia wewe unaonekana mrafi sana punguza kula kula ovyo kwa mfano juz tumetoka dom njian jamaa mmoja ni afisa wa serikali alitoka dom amekunywa...
  5. KISIRIRI

    Hongera South Sudan!

    jamanii hawa wazanzibar wana tusaidia niniiiihiiiiiiiiiiiiiiiiii wavunje tuhuuu muunganooooo
  6. KISIRIRI

    Chadema na CCM wanawakati mgumu sana uchaguzi mdogo Igunga.

    Nawahurumia sana hawa c.c.m wanapoteza maimbo yote ya mapacha wa3 yanaenda CDM ,hasa hili la igunga mh zito ameshasema mapema
  7. KISIRIRI

    Kuanguka Kwa Rostam Aziz; Tafsiri Yangu

    nasikitika kusema jimbo la igunga lipo mikononi mwa chadema ; CHAMA CHA MUNGU bye bye
  8. KISIRIRI

    Umri gani wa kupishana kati ya watoto?

    mimi wa kwangu wanapishana mwaka mmoja tu ili wanyanganyane uji vizuri na pia mama apumzike causd nina mpango wa kuwa na watoto wawil tu
  9. KISIRIRI

    How to use JamiiForums effectively

    hooooood humuuuu jf naomba kula zen
Back
Top Bottom