Elections 2010 Wabunge wasiotakiwa kurudi bungeni 2015

wiliam lukuvi, iddi azan, zungu, na yule wa segerea, na wabunge wote wa mkoa wa dodoma.
 
Anne Makinda
Yule mama pashukuna aliyemlipua Jairo
Ole Sendeka - unless arudi upinzani
Kawambwa
Wabunge wote kutoka Zenji
Nyalandu
Lusinde
Mary Nagu
Mkono
 
Joseph Mbilinyi, Esther Matiku, Wenje, Saturnbless Lema, Mchungaji wa Iringa..........................
 
Hawa Ghasia, Yule Mwenyekiti Frm Zanzibar, Viti maalum wote frm vyama vyote, Kombani, Shelukindo, Nkamia.
 
Kwa mawazo yang kusiwepo kabisa na wabunge hasa wa ccm kwa sababu kaz yao ni ndiyoooooo........... Hata hoja za msingi wao kupinga tuu
 
Kweli wameishiwa kamanda wangu...hao wote walichaguliwa kwa ridhaa ya wananchi yeye kama hawataki asiwape kura yake siyo kuleta hoja za kuanza kampeni kiaina hapa muda bado jamani. Naona anaanza kuangalia sura sasa..mtammaliza Tyson mkihamia sura
 
Samwel Sitta
Shibudha
Dr Kingwangwala
Deo fulunjombe
Wasira
Komba
Lukuvi
Lusinde
Mrema
Job Ndugai
Viti maalum wote wa CCM
Chibulunje
Wabunge wote wa CCM toka Singida
Nyambari Nyangwine

waongezee wengine


Nafikiri wa kwanza kabisa angekuwa Mtutura Abdala Mtutura akifuatiwa na Juma Nkamia, Maria Hewa na Mwigulu Mchemba. Hawa wanadhani kuwa wao ni Serikali.
 
Wabunge wote wa bunge la kumi! Viti maalum na wa kuchakachuliwa sory kuchaguliwa hawatakiwi kurudi! kwa sababu bunge la kumi limekosa nidhamu!na haliwatetei watz,bora tuanze afresh!
 
Back
Top Bottom