Rais ana kigugumizi cha kutoa maamuzi, mimi naona ajiuzulu nchi imemshinda, kama wafanya ndiyo tumemchoka kabisaa, ameuza nchi kwa wachina, wamarekani na waindi. anjua akistaafu ndio atakapo kimbilia, bora aende sasa. Nchi ina matatizo yeye anajificha south Africa, aangalie viongozi wa ukweli huku uingereza. Nashangaa mpaka leo Jairo, Ngeleja wapo ofisi wakati walitakiwa wawe segerea.