Recent content by kisima jongoo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Temeke aamlisha watakavaa nusu uchi wachapwe viboko hadharani

    Hiyo safi sana, ila agizo hilo lisilenge akina dada tu pia wanaume wanaovaa suruali au kaptula huku makalio yakiwa nje washughulikiwe. Inatia kinyaa sana jitu linatembea barabarani huku likionyesha boxer yake chafu eti fashion, pumbavu zenu wavaa kata K wote!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Askofu Thomas Laizer wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini afariki dunia

    R.I.P Baba Askofu Laizer!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba na Siasa za kishirikina Iramba magharibi

    Mleta uzi mbona jina lako limekaa kigagulagagula?
  4. K

    JamiiForums Tanzania MBUNGE H. KIGWANGALA Ashushuliwa na M/kiti Zungu

    Mhe. Masele ni graduate wa UDSM alihitimu B.A mwaka 2004, kijana ni mzuri anajitahidi sana acheni wivu jamani.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Siku za Lowassa CCM zinahesabika!

    source please, acha porojo.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kigwangala, iwe ni kweli au si kweli, umejidhalilisha

    angefanyaje wakati yeye aliambiwa na lisu kuwa hoja yake ni poorly thought na ni kwajili ya kutongozea kura tu?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Joel Mkude aaga dunia

    R.I.P Mkude poleni wafiwa.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wasifu mfupi wa marehemu mtarajiwa 2015

    day dreaming
  9. K

    JamiiForums Tanzania CCM Na Zuzuka La 'Umati' Kigoma

    Mmmh mtambo kazini!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mpya hii kwa mzalendo kijana

    chama cha vijana, that is a nonstater!
  11. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wahurumieni watanzania

    well said mkuu! hawa jamaa sijui vipi!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwa jambo hili sintomsahau Mh. John Mnyika!

    Amiliki inawezekana kuna uafadhali katika upatikanaji wa maji baadhi ya sehemu tu, kuanzia stop over kwenda mpaka mbezi kwa yusufu vurumai ya magari ya maji bado iko vilevile kama zamani. kuna maeneo mengi sana ambayo hayajui maji ya bomba; makabe, mshikamano, msumi nk huku kote maji ni bidhaa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa ajibu tuhuma dhidi yake

    Vipi riba, mkuu umelipa nayo au katibu mkuu unapata soft loan?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Sitta ampinga Makinda kuhusu mabunge mawili

    Nakubaliana na mheshimiwa Sita 100%. Mabunge mawili ni kuongeza gharama zisizo za lazima wakati nchi ikikabiliwa na upungufu mkubwa katika upatikanaji wa huduma za jamii ikiwemo maji safi na salama kwa watu wake.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tunataka rais aliyesoma shule za kata

    Hayo ndiyo maoni yako uliyompelekea jaji warioba? kweli upinzani bado saaana.
Back
Top Bottom