Tunataka rais aliyesoma shule za kata

Tunataka rais aliyesoma shule za kata

acha na ndoto mfu fanya kazi usigeuze siasa kuwa ajira yako by the way ww ni mwalimu shika chaki siasa huiwezi hata ukija kahama kugombea udiwani hatukupi kuraaaa
 
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu. MTAZAMO WA KIZALENDO
Mkuu, wewe ndiye yule anayetaka kuwa rais ajaye wa TZ?
Mhhh! Kweli kazi ipo.
Yaani unataka rais mwenye elimu duni? aliyesoma shule zisizo na waalimu? Ndio unaouita uzalendo? Au ndiyo kujipigia debe?
Pole sana.
Ndugu "rais" mtarajiwa, nilitegemea ungeandika "ninataka rais ajaye aimarishe maeneo haya yenye mushkeli".
 
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu. MTAZAMO WA KIZALENDO

Jifunze kwanza maana ya neno LAZIMA.
 
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu. MTAZAMO WA KIZALENDO

Je hoja hii ndiyo msimamo au Mtazamo wa Vijana NCCR-Mageuzi maana wewe kama kiongozi ambaye upo katika kitengo cha Publicity tunaweza kufikiria kwamba unafanya Publicity ya mtizamo wa kitengo cha vijana?

Kwanza uhusiano wa hoja ya watu waliosoma nje na waliosoma Tanzania kwenye hoja ya uchungu haupo kwa kuwa tuna watu wengi wametoka kwenye familia maskini,wamekua na umaskini lakini wakifanikiwa kimaisha au wakipata uongozi wanasahau kabisa tabaka la chini.Kinachohitajika ni utashi wa kijamii na kisiasa na pia tupange vipaumbele vyetu kwa kujitambua na tuwe na dira sahihi itakayoongozwa na itikadi.Tuwe na utashi na utambulisho wetu kama Jamii iliyodhamiria kuwepo katika ulimwengu huu kwa malengo chanya.

It is possible for Tanzania to become great, even in our lifetime. And we have examples of countries in Asia and South America to go by. In any case, I think a number of factors contribute to nations becoming great: education certainly helps. Other factors include the mindset of its citizens, philanthropy, leadership (or good examples). The list goes on... We also have to consider factors that may prevent a nation from realizing greatness, religion, culture, a lack of a unified positive mindset, illiteracy, tribalism, polygamy, etc. Again, the list goes on.

Being the most educated is different from being an intellectual property. Tanzanians might be educated but we're definitely not an intellectual property. How many educated Tanzanians think 'out of the box' and take risks outside their comfort zones? Just take a look at the comment pattern on Facebook especially on your status update and other social networks like Jamiiforum, mostly from Graduates but most of them (not all) they're empty up there.

We just don't have what it takes.Tujipange Kweli Kweli kama walivyofanya Wengine waliofanikiwa!
 
kaka MOLEMO wapiga kura walio wengi wamesoma shule za kata fanya upembuzi yakinifu, halafu umesahau mimi CDM si kufukuzwa nilijivua uanachama kwa maana mna poka demokrasia.
Yaani wewe angalau una akili ya kuwashinda Choza, Mwampamba na Mchange...na hicho ulicho kifanya maofisini kinatumika sana...
 
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu. MTAZAMO WA KIZALENDO

kasoma chuo gan vile!kijana si kijana,mzee si mzee!bora hata YUSUFU MAKAMBA!
 
Bwana mdogo Kisandu,ingawa una uhuru wa kutoa maoni yako kwa mujibu wa katiba,lakini kiukweli bado hoja yako inaonyesha ni jinsi gani ulivyo na uwezo mdogo wa kujenga hoja.Kama kweli lengo lako ni kugombea uraisi,basi utakuwa janga kubwa kwa taifa na dunia kwa ujumla.Jipange sana,kama hautaki waite polisi.
 
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu. MTAZAMO WA KIZALENDO

Mkuu,

1. Shule ya kata kwako ni ipi na umri wa kugombea uraisi ni upi?

2. Unamaanisha nini unaposema "lazima"..who are you hasa, au unamuwakilisha nani kuleta huo "ulazima"

3. Unadhani shida ya nchi hii, iko katika 'uanafunzi' TU au hayo uyasemayo ni matokeo tu!! yaani shule ya msingi, sekondari, vyuo kama ulivyosema?

Jifunze kujenga hoja, na Rais hatafutwi katika/kupitia udhaifu(matokeo actually) ya nyanja moja, unless huyo Rais awe Rais wa wanafunzi, mkuu.
 
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu. MTAZAMO WA KIZALENDO

Kibaraka mkubwa kama wewe huna nafasi ya kuwaambia chochote watanzania, mtu hina msimamo hata kidogo, huna uzalendo, unajua kufanya fitina na majungu.

Huna nafsi ya kuwashauri watanzania maana hata ulichokiandika hapa umetumwa na mtu...

WaTZ tumechoshwa na ngojera zenu hadi waliopigania uhuru zamani wanatushangaa kwa tabia kama hiyo yenu ya kuchumia tumbo.

Endelea na PM7 na MASALIA yako huko tumeshawabaini huna nafasi tena ya kuwahadaa watanzania.
 
Hayo ndiyo maoni yako uliyompelekea jaji warioba? kweli upinzani bado saaana.
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu. MTAZAMO WA KIZALENDO
 
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu. MTAZAMO WA KIZALENDO

Wewe jamaa sijui ukoje kukaa kimya umeshindwa? Unajua shule za kata zilianza lini?
 
Anzeni kubishana sasa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu. MTAZAMO WA KIZALENDO
Kwa nini mapendekezo yako yasiwe waziri wa elimu ndio awe na sifa hizo...vipi kuhusu kero za majeshi na yeye inabidi awe mwanajeshi?? vipi kuhusu kero za afya, na yeye inabidi awe muuguzi?? vipi kuhusu kero za uvuvi, anye inabidi awe ashakua mvuvi??...THINK BIG MY FRIEND
 
Hata walosoma huko ndio hao hao vilza,jipange uje na point acha pointless ntakupiga ban
 
Hakika thread yako ni hewa tupu.Ina maana umeshindwa kabisa kujua sifa za kiongozi bora?Humu jf kuna mabingwa wa uchambuzi kama vile Mchambuzi wameandika makala nyingi sana humu ambazo ukizisoma utafaidika sana.Acha kuandika udaku.
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu. MTAZAMO WA KIZALENDO
 
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu. MTAZAMO WA KIZALENDO

Afadhali umejiengua CHADEMA usingetufaa. xyqwhkabf
 
Back
Top Bottom