Siku za Lowassa CCM zinahesabika!

Siku za Lowassa CCM zinahesabika!

Kinana, Lowasa na JK ni marafiki wa muda mreeefu, wala si wa kukutana barabarani!

Kwa hakika sasa si siri tena siku za gamba kubwa CCM Edward Ngoyaye Lowassa a.k.a Fisadi wa Richmonduli ndani ya CCM zinahesabika.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba kifikia tar 12/02/2013 Kamati Kuu ya CCM itakuwa imeundwa na baada ya kupata pigo kubwa kwa Makamu Mwenyekiti Mzee Mangula, Katibu Mkuu Kinana na Kurudishwa kwa adui yake mkubwa Nape basi pigo la mwisho kwa EL ni uundwaji wa CC ambao kwa vyanzo vya jikoni kabisa..hakuna mtu wake hata mmoja.

Ikumbukwe vikao vitatu vya mwanzo vya uchujaji majina ya urais ni Sekretarieti chini ya Kinana na Nape, Kamati ndogo ya Maadili chini ya Mangula na Kamati Kuu chini ya JK...na kote huku hakuna kupiga kura ni mjadala tu then maamuzi..

Haya niyasemayo yalimkuta Lowassa mwaka 1995 aliondolewa kwenye kinyang'anyiro bila kura, yalimkuta pia Malecela aliondolewa bila kufilishwa kwenye kura...historia itajirudia 2015.
 
source please, acha porojo.

Hapo hakuna lolote mkuu.Kumbuka Jk kawekwa na mtanadao wa EL, so ni ngumu kumwajibisha. Kama unabisha subili uone.Sema tu urais kwa EL ni ndoto za mchana kabisa na hili nalisema tena EDWARD LOWASSA AKIWA RAIS WA TANZANIA, MI NAHAMIA MOGADISHU-SOMALIA.
Wekeni kumbukumbu ili mje mnikumbushe November 2015
 
Mkuu Honey K,

1. Mbona Kinana naye ana tuhuma fulani hivi zinachukuliwaje na CCM!

2. Mbona JK amekalia tuhuma mbalimbali, yaani
a) Deep Green Finance,
b) Mwananchi Gold,
c) Meremeta,
d) Rada
e) EPA - hapa CCM imeshindwa kujibu alipo "Marehemu" Daudi Balali
f) Richmond, nk, na alipitishwa kugombea uchaguzi mkuu 2010 na sasa hivi ameendelea kulea rushwa ambayo imeendelea kuitafuna CCM hadi kwenye mifupa?

3. Wewe unafiliri CCM ilivyo kwa sasa ina "moral authority" ya kupambana na rushwa? Maana ikifika kwenye kura za maoni tunashuhudia jinsi CCM inavyotembeza rushwa kwa wapiga kura na viongozi WENGI kama si wote wa CCM wametokana na rushwa!

Hayo weka pembeni hiyo ndio ccm na alichosema mleta mada ndio hali halisi,huwa hatutizami hayo tunapotafuta mgombea wa chama chetu,zipo fitna za ccm ndio alichomaanisha mleta mada,kwa ni wazi ukishapita kwenye vikao hivyo alivyovitaja wewe ndio rais wa tanzania,labda miaka ijayo upinzani utakapokua umeimarika
 
Wewe hujui unaandika nini lowassa ndio mwenye chama huyo mwenyekiti wako huwa anamfuta nguludoto kule,unabwabwaja tu subiri uone mziki wake kama kuna mtu anaweza kumnyoshea kidole ndani ya ccm!!!!!!!!

mwenye chama jina lake halimo kwenye kamati kuu ya chama "chake",hii hakunaga dunia nzima,labda chadema tu pengine
 
Honey K

Ila kuweni makini kaka.

Haya mambo ya watu kuwekana ndani ya chama kwa kupangana kiasi cha kwamba inafikia watu kushindwa kuwajibishana ndiyo yanayotuharibia chama.

Kuweni makini sana kwa sababu siasa za sasa zinahitaji weledi na uadilifu mkubwa la sivyo lazma tutapata changamoto kuu.

honey tumelewa ila k ahatuelewi weka wazi hiyo k ilitukutafakari
 
Last edited by a moderator:
Thubutu maccm hayana tabia yakuadabisha wanachama wanao toka nje ya mstari.

Kikowapi CDM wanaonea dagaa,wanyonge wao kina shonza,mbona mzee mzima ZZK hawamgusi!
 
Honey K

Ila kuweni makini kaka.

Haya mambo ya watu kuwekana ndani ya chama kwa kupangana kiasi cha kwamba inafikia watu kushindwa kuwajibishana ndiyo yanayotuharibia chama.

Kuweni makini sana kwa sababu siasa za sasa zinahitaji weledi na uadilifu mkubwa la sivyo lazma tutapata changamoto kuu.

Comrade,comments zako nowdays zimeenda shule kidogo
endelea hivyo hivyo,najua muda si mrefu tutakuwa pamoja M4C lol
 
Mkuu Honey K,

1. Mbona Kinana naye ana tuhuma fulani hivi zinachukuliwaje na CCM!

2. Mbona JK amekalia tuhuma mbalimbali, yaani
a) Deep Green Finance,
b) Mwananchi Gold,
c) Meremeta,
d) Rada
e) EPA - hapa CCM imeshindwa kujibu alipo "Marehemu" Daudi Balali
f) Richmond, nk, na alipitishwa kugombea uchaguzi mkuu 2010 na sasa hivi ameendelea kulea rushwa ambayo imeendelea kuitafuna CCM hadi kwenye mifupa?

3. Wewe unafiliri CCM ilivyo kwa sasa ina "moral authority" ya kupambana na rushwa? Maana ikifika kwenye kura za maoni tunashuhudia jinsi CCM inavyotembeza rushwa kwa wapiga kura na viongozi WENGI kama si wote wa CCM wametokana na rushwa!
mkuu big up lakini usimwite mtu marehemu ikiwa hujathibitisha maiti yake au unawaiga hawa walarushwa.
 
comrade,comments zako nowdays zimeenda shule kidogo
endelea hivyo hivyo,najua muda si mrefu tutakuwa pamoja m4c lol
kama m4c ni purely kwa ajili ya elimu ya uraia tupo pamoja sana lakini kama ni sehemu ya ile project yakuifanya nchi isitawalike kwa kufanya hila za hapa na pale ;mimi si pamoja nanyi.hivi unaweza kukumbuka ni nani aliekuwa amewadanganya watu wa mtwara kwamba gesi inaenda bagamoyo?
 
Kwa hakika sasa si siri tena siku za gamba kubwa CCM Edward Ngoyaye Lowassa a.k.a Fisadi wa Richmonduli ndani ya CCM zinahesabika.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba kifikia tar 12/02/2013 Kamati Kuu ya CCM itakuwa imeundwa na baada ya kupata pigo kubwa kwa Makamu Mwenyekiti Mzee Mangula, Katibu Mkuu Kinana na Kurudishwa kwa adui yake mkubwa Nape basi pigo la mwisho kwa EL ni uundwaji wa CC ambao kwa vyanzo vya jikoni kabisa..hakuna mtu wake hata mmoja.

Ikumbukwe vikao vitatu vya mwanzo vya uchujaji majina ya urais ni Sekretarieti chini ya Kinana na Nape, Kamati ndogo ya Maadili chini ya Mangula na Kamati Kuu chini ya JK...na kote huku hakuna kupiga kura ni mjadala tu then maamuzi..

Haya niyasemayo yalimkuta Lowassa mwaka 1995 aliondolewa kwenye kinyang'anyiro bila kura, yalimkuta pia Malecela aliondolewa bila kufilishwa kwenye kura...historia itajirudia 2015.

EL ana roho 7 kama paka; Ni mtu mwenye uthubutu na ujasiri mkubwa na mtaalamu katika mbinu za medani;

Sina uhakika kama asili yake ya Umeru na umasai vimechangia katika hili!! Kumbuka alivyojitoa mhanga, akajitia kitanzi; akakubali kuwa Mbuzi wa kafara (Bungasillo)!! nani mwingine katika CCM anaweza kufanya hilo mbali na Lyatonga Mrema pekee?! mengine kwa sasa ni historia.

Kamati kuu ya CCM; iwe na watu wake au bila! ni kamati tu ya kupanga ajenda; Vikao vyenye maamuzi ni halmashauri kuu na Mkutano mkuu pekee kulingana na uzito wa ajenda husika!

katika vikao hivyo viwili vya maamuzi sisemi lolote; nakushauri urejee yaliyojiri Dodoma wakati wa mkutano mkuu wa CCM mwaka jana, uchambue mwenyewe katika ile "Minyukano" yote; nani alikuwa anatajwa zaidi kama kinara na mfadhili wa makundi?! kuanzia Hanang kwa Fredo Sumaye na kwingineko?! fanya tathmini mwenyewe!!

Mwisho kabisa jiulize je huko ndani ya kamati kuu ya CCM wakisha jenga mizengwe yao nani ana ubavu wa kuisukuma hiyo ajenda mpaka Edo anyolewe, kisha an'golewe na kutupwa kwenye jamngwa la kisiasa?!

Je Mangula, Kinana na Nape bila utashi na msukumo wa JK (Christian Ronaldo); wataweza?!?! au watakuwa Mbuzi wa kafara kama Wilson Mkama?!

Do not write-off Edo! CCM peke yao hawatamuweza na hilo hata JK analijua ndio maana alipiga dana dana na kuizunguka hoja ya KUJIVUA GAMBA mpaka kesho!

Muamko wa umma wa kuchukia ubadhirifu na ufisadi wa raslimali za taifa na utashi wa umma wa kutaka kujikomboa na kujenga Tanzania tuipendayo ndio silaha Mahsusi ya kuwaengua watu kama Edo na vikaragosi vyake na mfumo mzima wa utawala na ufisadi wa CCM na serikali yake. kwani kumuondoa Edo pekee haitoshi bali kuwavurumisha Edo na mfumo wake mzima ndio ufumbuzi wa kudumu. Mungu ibariki Tanzania

Aluta continua!!
 
tumepoteza 50yrs for nothing kwa ajili ya hili zimwi linaloitwa CCM. ife tu sherehe itafana sana siku ya mazishi
 
Kwa hakika sasa si siri tena siku za gamba kubwa CCM Edward Ngoyaye Lowassa a.k.a Fisadi wa Richmonduli ndani ya CCM zinahesabika.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba kifikia tar 12/02/2013 Kamati Kuu ya CCM itakuwa imeundwa na baada ya kupata pigo kubwa kwa Makamu Mwenyekiti Mzee Mangula, Katibu Mkuu Kinana na Kurudishwa kwa adui yake mkubwa Nape basi pigo la mwisho kwa EL ni uundwaji wa CC ambao kwa vyanzo vya jikoni kabisa..hakuna mtu wake hata mmoja.

Ikumbukwe vikao vitatu vya mwanzo vya uchujaji majina ya urais ni Sekretarieti chini ya Kinana na Nape, Kamati ndogo ya Maadili chini ya Mangula na Kamati Kuu chini ya JK...na kote huku hakuna kupiga kura ni mjadala tu then maamuzi..

Haya niyasemayo yalimkuta Lowassa mwaka 1995 aliondolewa kwenye kinyang'anyiro bila kura, yalimkuta pia Malecela aliondolewa bila kufilishwa kwenye kura...historia itajirudia 2015.
Basi unakusudia kuwa mbio za Lowassa kugombea urais ziko ukingoni na sio kuweko kwake CCM, kwani hadi sasa wako wengi waliokwishaenguliwa (yeye mmojawapo) na bado wapo CCM.
 
Kwa hakika sasa si siri tena siku za gamba kubwa CCM Edward Ngoyaye Lowassa a.k.a Fisadi wa Richmonduli ndani ya CCM zinahesabika.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba kifikia tar 12/02/2013 Kamati Kuu ya CCM itakuwa imeundwa na baada ya kupata pigo kubwa kwa Makamu Mwenyekiti Mzee Mangula, Katibu Mkuu Kinana na Kurudishwa kwa adui yake mkubwa Nape basi pigo la mwisho kwa EL ni uundwaji wa CC ambao kwa vyanzo vya jikoni kabisa..hakuna mtu wake hata mmoja.

Ikumbukwe vikao vitatu vya mwanzo vya uchujaji majina ya urais ni Sekretarieti chini ya Kinana na Nape, Kamati ndogo ya Maadili chini ya Mangula na Kamati Kuu chini ya JK...na kote huku hakuna kupiga kura ni mjadala tu then maamuzi..

Haya niyasemayo yalimkuta Lowassa mwaka 1995 aliondolewa kwenye kinyang'anyiro bila kura, yalimkuta pia Malecela aliondolewa bila kufilishwa kwenye kura...historia itajirudia 2015.

ngonjera zenu zimetuchosha badilisheni korasi.
 
Ccm wakimung'oa Lowasa itakuwa sawa na kuzaliwa upya.
 
si vibaya kukata mti uliokali kama umjifunga kamba ya kukombolea kiunoni.
 
Back
Top Bottom