yaani huyu dada, kaamua maisha yake pia kuyafanyia maigizo mhhh, yaan haishi skendo, mikasa na vituko duhh,
jana kapata valangati huko ndani ya gari yake, sifa zooootteeee, mbwembwe kibao mara Dubai, gari, shopping, kumbe by mume wa mtu, sasa jana sifa NA majigambo zilitaka mtokea puani...