Zamaradi wa Leo Tena........

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,145
13,216
Jana (280212) nilishuhudia mtangazaji bora wa kike 2011 Zamaradi Mketema akisema kipindi chake maarufu hakitakuwa hewani (mwisho wake) akiwa anamhoji Kanumba......nilisubiria kwa hamu nione atasema sababu gani lakini akaishia kwa kuaga.........

.......ama badu niliona kama ana kiashiria fulani hivi....je yawezekana ndio sababu za kipindi kutokuwa hewani???? Ina maana hakufanya mentorship kwa subdornate/coalegue wake?

...........nawaachia maswali wanajamvi
 
Your credit is below Sh 30. Call *149*05#to get a loan from Tigo. Terms and one time fee apply
 
Jana (280212) nilishuhudia mtangazaji bora wa kike 2011 Zamaradi Mketema akisema kipindi chake maarufu hakitakuwa hewani (mwisho wake) akiwa anamhoji Kanumba......nilisubiria kwa hamu nione atasema sababu gani lakini akaishia kwa kuaga.........

.......ama badu niliona kama ana kiashiria fulani hivi....je yawezekana ndio sababu za kipindi kutokuwa hewani???? Ina maana hakufanya mentorship kwa subdornate/coalegue wake?

...........nawaachia maswali wanajamvi

kule redioni (Leo tena/movie leo) kimodo ndio anaendeleza kazi yake labda kwenye TV wamekosa wa kumsaidia
 
nanakaribia timia kuwa mwanamke sasa, by may au june hivi atarud hewan tena......................all the best zamaradi
 
nanakaribia timia kuwa mwanamke sasa, by may au june hivi atarud hewan tena......................all the best zamaradi
UNAMAANISHA NINI HAPO KWENYE RED?? mie simo si unakumbuka ule wimbo wa Manungayembe???ahsante kutujuza unanekana ndio ww muhusika maana una data hadi za siku, tarehe na saa
 
Jamani eh amesema kipindi kitaendelea kuwepo ila ruben ndege(ncha kali) ndo atakua anaongoza mpaka ye atakapo fanya mazoezi kupunguza tumbo lol
 
Yaonyesha una data dadavua basi ridh1 si ana mke? au matarajiwa wa pili? walikuwa wapenzi?
Achana na Huyo dogo Ridh1, hata wewe akikuona tu...umekwisha na hivi ulivyo....yaani huhitataji UDADAVUZI......ni katika ku bett tu....
 
Achana na Huyo dogo Ridh1, hata wewe akikuona tu...umekwisha na hivi ulivyo....yaani huhitataji UDADAVUZI......ni katika ku bett tu....

Nasikia baba wa mtoto ni Ruge! Zama kadhani atapanda cheo kwa kumzalia...:embarassed2:
 
Inawezekana ni product yake anayotaka kuama nayo kwa hiyo hataki kumuachia mtu..inategemeana na mikataba waliyoingia na hiyo TV..wakati mwingine mtu analipia air time na anarusha kipindi chake,kwa hiyo akitoka anaondoka na idea yake...mfano Dr Ndodi anahama na idea yake kila anapoona inafaa..nadhani na huyu dada kafanya hivyo...ngoja tusubiri.
 
kpnd ktaendelea kuoneshwa na ncha kali..na zamaradi ana mimba ya RUGE MUTAHABA..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom