Tanzania referundum support Projecr ( reborn )

kishanshuda

Member
Feb 25, 2011
73
11
Kazi za civic voters education officers,

Hawa jamaa walitoa kazi kama mwez umepita, leo wanatuma email kuwa umechaguliwa ns kuna training dar kuanzia tarh 22/3/2015 ila wanahitaj utume scanned vyet vyako kwa lawyer wao na Tshs 51500 kwa Mpesa au Tigo Pesa ili aweze kukuthibitisha kuwa uko qualified.
Sasa swali langu 1.why involving money?
2. No interview??
Kuna walakin hapa, me nadhan waliopata hyo email wawachunie hawa matapeli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom