Nafasi ya Kazi changamkeni

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
232
Kunachaka moja linahitaji accountant, sifa awe anafahamu IT kidogo kama kuinstall window, antivirus update nk.

Anatakiwa awe mwanza na kituo cha kazi ni mwana so alie tayari ani pm. mshara ni mzuri tu.
 
je kama ana IT bachelor na ameipenda io kazi pia anaruhusiwa kuaply>???
 
Unaweza jaribu. Ila job title ni accountant kama upo fit poa wewe ni pm mm ntakupeleka kwa wahusika ushindwe mwenyewe ila mshahara poa sana.
 
aisee najibu mbona.

Kama mtu upo tofauti na mwanza inakuwa ngumu inatakiwa uwepo mwanza.
 
sasa mbona hujasema nitume vip hizo cv na other applications, nimeku-pm lakin hujaniambia vzur, can yu tell me more plz, niko mwanza na nina vigezo hivyo
 
Kwa hiyo mwataka kufanyia kazi vichakani? Mshaambiwa ni chaka, kuna chaka lenye adress? Haya mwenye chaka tujulishe anuani ya chaka tutume cv. Lugha zingine bana arrrgh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom