Cr officer anahitajika(kabanga nickel mining) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cr officer anahitajika(kabanga nickel mining)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mfukoz, May 21, 2012.

 1. m

  mfukoz Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hellow wanajamii Forum mtu yeyote aliyekuwa tayari kufanya kazi Ngara(In Kabanga Nickel Mining) na mwenye sifa asome tangazo hilo.Sorry hilo tangazo nimetumiwa likiwa limegeuzwa.Read and Apply soma kwenye ATTACHMENTS View attachment Job_CR Officer.pdf .
   
 2. k

  kishanshuda Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  ahsante mkuu watuangalie na sie wa mwanza tukituma maombi bwana, wasiwe bias basi uwii, ndo natuma hapa saa hii yaan
   
 3. m

  mfukoz Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Poa kaka jaribu na imani utapata.
   
 4. SEMBE WA LUSANGA

  SEMBE WA LUSANGA Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna kitu hapo, ukabila umejaa tu kule. Mpaka ujue kirundi ndo utapata kazi tukomae tu hapa Dar!!
   
 5. kimpango

  kimpango JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 515
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 80
  mbona deadline imepita toka may ulikuwa wapi kuweka
   
Loading...