Recent content by Kisenga

  1. K

    CHADEMA Yasambaratisha CCM Iramba Mashariki

    Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kushabikia magamba coz ndio waliotia umasikini.
  2. K

    Kuna masharti gani kwenye huduma ya M-pawa ya Vodacom

    Msham sio kama ulivyoelewa mfamo mimi nimejaribu kujiunga.nimeweka akiba elfu 5,kisha nikauliza kiasi ambacho naweza kukopa ..nikaambikwa sh. 40,000 ,matumizi yako kwenye simu yanakuongezea kiasi unachoweza kukopa.
  3. K

    Kuna masharti gani kwenye huduma ya M-pawa ya Vodacom

    Kuna rafiki yangu amenieleza vizuri kuhusiana na Mpawa.Kwa ufupi ili uweze kupata mkopo benki lazima uwe na bank husika,utume maombi ili yajadiliwe kisha afisa mikopo anapewa jukumu la kuhakiki dhamana zako ili kujiridhisha km utakuwa na uwezo kukopeshwa kiasi ulichoomba ,kwa mtu wa kima cha...
  4. K

    John Komba: Unaweza kuwa Jaji lakini ukawa Jaji wa ovyo!

    Komba fani yk kuimba kwaya...huna jeuri ya kumdhika Warioba..warioba anaweza kuongea na Shivji, Dr slaa,Lipumba...na vijana km Lisu,Mnyika
  5. K

    Muchacho, aliyekuwa Meneja wa Simba, Afariki

    Wadau..huyu mzee ukiondoa maswala ya soka si alikuwa anajishughulisha kuchoma mishikaki na kuku wa sekela..aliwahi kufanyia kazi hy mtaa nyamwezi/lindi au karibu na mtaa wa kipata..mara ya mwisho alikuwa anachoma mishikaki maeneo ya upanga ..karibu na chuo cha mzumbe..pia alikuwa shabiki mkubwa...
  6. K

    CHADEMA nikiwaita matapeli na wanafiki nitakuwa nimekosea?

    Ngonyani..bado unaakili ya kitumwa au ni shabiki wa siasa kama mpira..siasa ni maisha,hali ya umasikini tuliyokuwa nayo inatokana na mfumo mbovu wa kisiasa,usije rithisha tabia yako ya kitumwa au puppet kwa watoto zako
  7. K

    Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    @Ngw'amapalala,, naomba usikilize vizuri speech ya Lissu..ile mifano 4 aliyotoa ili kuthibitishia bunge la katiba kuwa muungano ulikuwepo hauna uhalali kisheria..si dhani ametusi Nyerere..but baba wa taifa si mungu..ni binadamu kama sisi..kwa kuna makosa aliyofanya, nadhani ukisifia hata...
  8. K

    Kwanini Chadema kwa Miaka yote hii bado Haikubaliki?

    Mtaji wa ccm ni watu wasiokuwa na elimu..walioelimika bt wako ccm wapo kimasilahi tu..kwani hawezi kuongelea mabaya wkt kinawaweka mjini, lakini wanajua fika kwamba nchi ina hali mbaya kiuchumi na sababu wanajua ila wamebakia kuwa waoga..wanafiki..kujipendekeza ili mradi wapate kula
  9. K

    Dr. Slaa's Leadership - success and failure

    Slaa yupo vizuri..
  10. K

    Majimbo yanayotawaliwa na CHADEMA yazidi kudhoofika kiuchumi kutokana na siasa chafu...

    Msuki...seems njaa ndio inakufanya uandike thread hii..watetezi wa magamba hawana uchungu na nchi yao..utapimaje maendeleo ndani ya miaka 5 ...gamba limefanya nini ndani ya utawala wake..km yapo yanakidhi
  11. K

    AIRTEL, VODA Mkome kudhalilisha dada zetu..!

    Mtoa maada..ninashaka na uelewa wako..kwanza jiulize nini maana kazi.Je ..ni kazi halali au sio? ..la pili nani anawaajili hao watu na wanalipwa sh? Je ujira unatosha? Makampuni makubwa hayaajili vibarua..hayo ni sale promotion na advertisement companies ndio wanaopewa tender za kutangaza.Hoja...
  12. K

    CHADEMA na CUF waungana kipinga nyongeza ya posho bunge la katiba

    Cybercrime...ile ni kamati iliyoundwa kuhusiana na hayo madai..kuwa mjumbe wa kamati haimaanishi unaunga mkono hoja
  13. K

    Smartphone gani nzuri kwa 200,000-250,000 kwa kariakoo?

    Nunua Tecno,smart 4ne ya kichina
Back
Top Bottom