Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,215
- 1,240
Ndugu wana JF nimekuwa nikifuatilia chaguzi mbalimbali za udiwani na ubunge, Lakini kila mara matarajio yangu huja tofauti na hali ninayoiona kwenye kampeni za Chadema. Kwenye mikutano ya Chadema watu hufurika sana tofauti na kwenye mikutano ya CCM
hali ambayo huashiria mapenzi makubwa kwa CDM, sasa swali wananchi wanawag'ong'a wanacdm kuwa wapo pamoja nao? au cdm watz hawaipendi kabisa? na wangependa cdm ifutike machoni pao? Naomba Majibu.
hali ambayo huashiria mapenzi makubwa kwa CDM, sasa swali wananchi wanawag'ong'a wanacdm kuwa wapo pamoja nao? au cdm watz hawaipendi kabisa? na wangependa cdm ifutike machoni pao? Naomba Majibu.