AIRTEL, VODA Mkome kudhalilisha dada zetu..!

Nikiwasoma mnavyofuka nawapatia picha mlivyo wavivu. Yaani ajira zilivyo ngumu, hiyo kazi hadi apate keshatongozwa hadi kajichukia! Watu wanashinda kiwandani kwenye kelele, vumbi, joto na sumu na wanalupwa 80,000/= mwisho wa mwezi. Unajua Ni sh ngapi kwa simu kwa mtu anaefanya kazi 6days a week? Mi ndio maana sigawi hela kwa ndugu, kama Una shida nakutaftia kazi nakuacha hapo!

Word!!! Pesa ngumu sana aisee
 
Leo nimesikitika kuona wadada vigori wakisimamishwa barabarani huku wamebeba mabango ya matangazo ya kampuni ya AIRTEL, yaani wanasimamishwa tangia mchana jua kali mpaka jioni.., wana kula moshi na vumbi la magari pale ubungo kama masanamu.., yaani daaa..!, hivi hayo matangazo mkiweka kwenye mabango mtapungukiwa na nini.., ndo mnakwepa kodi au..??! MKOMEE!! Ona huyu dada mwenye shirt la airtel hapo (shirt jekundu, picha nimepiga kwa mbali)
View attachment 140563

kwan wanakatwa kinguvu na kusimamishwa au ujui ukitamkacho gizo ni nijaa za dada zako n njaa haitazami ugoli wa mtu kama utaki wasimama jitoe muanga kwa kuwapokea ,
 
mbuzi hula urefu wa kamba yake.

Umesema yooote haya kwa sababu tu ni "Mwanamke", kwani vijana wa kiume huwa huwaoni? hao wanawake wao hawastahili kufanya kazi km hizo?

Yupo yule dada kondakta wa dala dala la Mwenge-Ubungo,mbona husemi kuwa anatumia nguvu nyingi tangu alfajiri hadi usiku?

Waache dada zetu wajifunze kutafuta kwa kutumia njia ya halali kwa kiasi chao badala ya kufanya biashara haramu.Wapo wengi waliopata fedha kwa njia haramu km madawa ya kulevya,biashara ya ngono,nk...wakiwemo hadi wabunge,na matokeo yake ni kudhakikika tu.Lajini hao hawajadhalilishwa kwa vyovyote vile.

CHAPENI KAZI DADA ZANGU,HAKUNA NAMNA SO FAR.
 
tusi-take advantage na matatizo ya watu..., we utanunua changudoa kisa ndio urefu wa kamba yake..?
wangekuwa hawana wateja wasingeuza. Kama hununui wapo wanaonunua na huio ndio urefu wa kamba wenyewe...

Nchi za mbele hao wanatambulika rasmi na wanalipa kodi nchi zinaendelea na kuleta misaada huku kwetu...
 
Leo nimesikitika kuona wadada vigori wakisimamishwa barabarani huku wamebeba mabango ya matangazo ya kampuni ya AIRTEL, yaani wanasimamishwa tangia mchana jua kali mpaka jioni.., wana kula moshi na vumbi la magari pale ubungo kama masanamu.., yaani daaa..!, hivi hayo matangazo mkiweka kwenye mabango mtapungukiwa na nini.., ndo mnakwepa kodi au..??! MKOMEE!! Ona huyu dada mwenye shirt la airtel hapo (shirt jekundu, picha nimepiga kwa mbali)
View attachment 140563
1. Wamedhalilishwaje?
2. Unajua maana ya kudhalilishwa?
3. Je wana umri chini ya miaka 18?
4. Umeona hao wasichana tu, je wavulana hujawaona au hapo ndipo "centre of interest" ilipolalia?

Jibu kwanza hayo maswali halafu tuendelee na mada
 
Nikiwasoma mnavyofuka nawapatia picha mlivyo wavivu. Yaani ajira zilivyo ngumu, hiyo kazi hadi apate keshatongozwa hadi kajichukia! Watu wanashinda kiwandani kwenye kelele, vumbi, joto na sumu na wanalupwa 80,000/= mwisho wa mwezi. Unajua Ni sh ngapi kwa simu kwa mtu anaefanya kazi 6days a week? Mi ndio maana sigawi hela kwa ndugu, kama Una shida nakutaftia kazi nakuacha hapo!
Unajuwa kuna watu wanadhani wana huruma, kumbe wajinga tu... Huyo amayeonewa hurma hapo akiikosa hiyo kazi na akaingia kwenye umallaya ataendelea kumwoneo huruma..??? Kila kazi inayofanywa na mtu yeyote, kuna mwingine anamuonea huruma... na wengine wanamuone wivu kwa kazi hiyo hiyo...

Leo nimesikitika kuona wadada vigori wakisimamishwa barabarani huku wamebeba mabango ya matangazo ya kampuni ya AIRTEL, yaani wanasimamishwa tangia mchana jua kali mpaka jioni.., wana kula moshi na vumbi la magari pale ubungo kama masanamu.., yaani daaa..!, hivi hayo matangazo mkiweka kwenye mabango mtapungukiwa na nini.., ndo mnakwepa kodi au..??! MKOMEE!! Ona huyu dada mwenye shirt la airtel hapo (shirt jekundu, picha nimepiga kwa mbali)
View attachment 140563[/QUOTE

Wewe jamaa unajifanya unajua na hela unazo, so unataka chupi wanunuliwe na nani? Wakiacha kufanya hiyo kazi utawasaidiaje? Ukiacha house girl uliyemwajiri kukufulia hadi chupi, ni nani mwingine uliyempa ajira?

Voda/Airtel wanatoa ajira wewe unamind, unataka wawape hela za bure? Acha ushamba, siku ukichacha utaujua umuhimu wa hizo kazi.
 
Acha kuongea kama umekurupuka kwenye ndoto.., we umeshawahi kupita huku Dar ukawaona.??! Unaishi Dar na unalifahamu jua na vumbi la huku.., au we hata ni mtanzania kwanza..??! Its simply inhumane my friend.., yaani ni kama zile enzi za utumwa the way i see it..., nothing justifies this.., wawape hata ajira ya kutembea nayo tuu lakini sio namna ile.., ina athari hata kisaikolojia na inashusha self-esteem ya mtu. kweli unaweza imagine ur sis anatendewa vile na ukafurahia..??! haya rudi usingizini uendelee kumuota PK Mbwa wee..!!!!
Acha kutukana hii siyo sehemu yake, mbona hujanijibu maswali yangu manne (4) niliyokuuliza?...
 
Thts not right kabisa.hamna ubinaadamu.ni udhalilishaji wa wanawake.n jst bcoz someone is in need of money, it doesn't mean wachukuliwe advantage of their situation.
Aircel n makampuni mengine SuCKs
 
Acha kuongea kama umekurupuka kwenye ndoto.., we umeshawahi kupita huku Dar ukawaona.??! Unaishi Dar na unalifahamu jua na vumbi la huku.., au we hata ni mtanzania kwanza..??! Its simply inhumane my friend.., yaani ni kama zile enzi za utumwa the way i see it..., nothing justifies this.., wawape hata ajira ya kutembea nayo tuu lakini sio namna ile.., ina athari hata kisaikolojia na inashusha self-esteem ya mtu. kweli unaweza imagine ur sis anatendewa vile na ukafurahia..??! haya rudi usingizini uendelee kumuota PK Mbwa wee..!!!!

Kumbe na huku nako kuna mbwa, haya mbwa huwasiana na mbwa mwenzie. Sasa wewe ulitaka hawa wakina dada wafanye kazi gani? Hata hivyo elewa kwamba wanaomba wenyewe na wanafahamu wanachokifanya, mimi najua na ninaamini ya kwamba bora wanachokifanya kuliko kujiuuza.
 
Leo nimesikitika kuona wadada vigori wakisimamishwa barabarani huku wamebeba mabango ya matangazo ya kampuni ya AIRTEL, yaani wanasimamishwa tangia mchana jua kali mpaka jioni.., wana kula moshi na vumbi la magari pale ubungo kama masanamu.., yaani daaa..!, hivi hayo matangazo mkiweka kwenye mabango mtapungukiwa na nini.., ndo mnakwepa kodi au..??! MKOMEE!! Ona huyu dada mwenye shirt la airtel hapo (shirt jekundu, picha nimepiga kwa mbali)
View attachment 140563

Inaonesha jinsi gani unawaonea huruma sasa wewe si Don, waajili wewe kwa kazi zuri isiyotia huruma. Pia ukumbuke ndio hawahawa ambao wanapoambiwa wakiwa shule wakaze wao wanajiachia na huu ndio mwisho wao. Washkuru hata kwa kazi hiyo waliyoipata.
 
Mtoa maada..ninashaka na uelewa wako..kwanza jiulize nini maana kazi.Je ..ni kazi halali au sio? ..la pili nani anawaajili hao watu na wanalipwa sh? Je ujira unatosha? Makampuni makubwa hayaajili vibarua..hayo ni sale promotion na advertisement companies ndio wanaopewa tender za kutangaza.Hoja ya msingi wanalipwa vizuri? Kusimama juani si hoja..trafic..machinga.wagizi wa barabara wote wanapigwa na jua..hao unaweka kundi gani?
 
Mi uwa nijiuliza security yao iko wapi incase akipalamiwa na gari pale.sijui kama hyo mitandao itawajibika kwa. lolote.
 
Hujawaza mmachinga wale wanaouza vitu humo humo kwenye mataa,kama ni vumbi mbona hukuwataja wamama wanaofagia barabara manispaa inawadhalilisha!? Kwa muono wako unaona wanadhalilika wakati wenzako wapo kazini,kuza akili zako!
 
1. Wamedhalilishwaje?
2. Unajua maana ya kudhalilishwa?
3. Je wana umri chini ya miaka 18?
4. Umeona hao wasichana tu, je wavulana hujawaona au hapo ndipo "centre of interest" ilipolalia?

Jibu kwanza hayo maswali halafu tuendelee na mada

Tuanze na la pili.., kumdhalilisha mtu ni kum-'humiliate' mtu hata kama unamlipa, kama huelewe nenda ka-google maana ya humiliate. Hilo swali la kwanza limejibiwa na la pili, kwa kusimamishwa pale barabarani kama sanamu ilhali yeye ni binadamu ni kum-humiliate.

Swali la tatu kawaulize airtel wao ndio walipokea C.V zao.

Wavulana nimewaona. Nimetolea mfano kwa akina dada kwani its worse for them, physically, physchologically na hata kimaumbile.., kumbuka wanaume wanaweza kukojoa kwenye kikona huku wamesimama na usijue anafanya nini.., then chap chap anrud mzigoni kushika bango lake na kula moshi na vumbi.., kuna lingine we..?
 
Wewe umewaona hao madada wameshika mabango unalalamika. Na wale wanaopita kwenye magari ya matangazo huku wananengua viuno itakuwaje. Kaka hiyo ni fursa ya kujiongezea kipato, na siku hizi ukichagua kazi utalala njaa. Ili mradi huibi, na hujiuzi mwili, nyingine zote kazi tu
 
Tuanze na la pili.., kumdhalilisha mtu ni kum-'humiliate' mtu hata kama unamlipa, kama huelewe nenda ka-google maana ya humiliate. Hilo swali la kwanza limejibiwa na la pili, kwa kusimamishwa pale barabarani kama sanamu ilhali yeye ni binadamu ni kum-humiliate.

Swali la tatu kawaulize airtel wao ndio walipokea C.V zao.

Wavulana nimewaona. Nimetolea mfano kwa akina dada kwani its worse for them, physically, physchologically na hata kimaumbile.., kumbuka wanaume wanaweza kukojoa kwenye kikona huku wamesimama na usijue anafanya nini.., then chap chap anrud mzigoni kushika bango lake na kula moshi na vumbi.., kuna lingine we..?
Kaka HaYO mambo unayosema mbona yamepitwa nawakati sana. Siku hizi hakuna kuchagua kazi. Kazi zenyewe zipo wapi mpaka uchague? Hao akina dada unaowaona, kazi wameomba wenyewe na hakuna aliyelazimishwa. Na wale akina mama wanaofagia barabarani mchana kutwa, tena bila vifaa vya kujikinga unasemaje?
 
Back
Top Bottom