Recent content by Kisamichael

  1. K

    JamiiForums Tanzania Shetta: Sina mpango wa kufanya kazi na Ali Kiba

    Hajui kuimba shoti huyu hana jipya
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mafundi nguo walalamikia Matumbo makubwa ya Wanawake

    huyo ni mwizi wa vitambaa anatala awe anabana sasa ukiwa na kitambi ataibaje kitambaaaa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitanda haviwekwi katikati kwenye chumba?

    watu wana majibu humu khaa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

    Waislam wanapenda sana ubishi wa dini hata ambapo hapastahili sijui wanamatatizo gani kwakweli ni shidaaa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nini kimewasibu wazee wa siku hizi?

    JF ni kiburudisho tosha! hahaaaaa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mishahara bado sana, watumishi wa umma mkaze roho

    Hakika miaka ijayo tusipoangalia tutakuwa na vita ya udini TANZANIA!Mwenyezi Mungu tuepushe na hili!AMEN
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mishahara bado sana, watumishi wa umma mkaze roho

    loading............
  8. K

    JamiiForums Tanzania Leo baada ya kufuturu Inshaallah nitaichoma moto rasmi kadi ya CHADEMA

    nina mashaka sana na kufunga kwako...inakuaje unaniita shetani?je ukikuta mi ndio nabii nimekuja kuukomba ulimwengu?unadhani utakiepuka kikombe hiki?....tengua kauli yako upesi! hahaaaaaaaaa!!
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I love you as my brother

    mtu kama huyu ng'ang'anizi unachuna mpaka ngozi ..! hahaaaaaaaaa
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uanzishwaji wa Tamthiiya isiyo na kikomo

    duh!napita tuu,habarini lakini
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nimeona nguvu ya uchawi na Mungu

    Duh!uchawi upo ndugu maombi ni kinga
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na maswali ya makondakta, Eti una mia nikupe mia mbili?

    mimi wakiniambia "UNA MIA HAPO" huwa nawaambia "IPO HUMOHUMO KWENYE CHENJI YANGU" hahaaaaaaa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wawili wajeruhiwa kwa bomu

    duh!hatari sana
Back
Top Bottom