Chriskisamo
Senior Member
- Dec 21, 2011
- 166
- 38
fungua pochi mkuuu bongo hii
nlikuwaga namjibu zombie hivyo hivyo, sasa hivi nkimuwaza tu natupa skin tait kule.
Soma between the legs upate anachokuambia.
I love you as ma brother, hilo ndo jibu nililopewa kutoka kwa mrembo niliyemtokea takribani mwezi mmoja uliopita,, kiukwel imenikata stimu baada ya kusikia ivyo kutoka kwa mrembo huyo.
Nifanyeje wana MMU ili aweze kutengua kauli yake na kuingia ndani ya box.,!
Inaonekana wewe ni mdogo sana kiumri ....!!
Mwanaume unaona kabisa anakupenda but huna hisia nae hata za kujilazimisha,ila anaekusumbua ndo kutwa hulali kisa kumuwaza...Sijui kwanini huwa inakuwa hivi
penzi likishaanza ni kazi kidogo kulivunja. But kama utaamua kwa makusudi kufungua Moyo kwa Huyo mwingine fasta tu unakolea. Game la kwanza tu linahamisha Hisia zote.
huo ndo upendo wa AGAPE mkuu.love her like sister....life goes onI love you as ma brother, hilo ndo jibu nililopewa kutoka kwa mrembo niliyemtokea takribani mwezi mmoja uliopita,, kiukwel imenikata stimu baada ya kusikia ivyo kutoka kwa mrembo huyo.
Nifanyeje wana MMU ili aweze kutengua kauli yake na kuingia ndani ya box.,!