Weee kasema nani yaani mtu ujenge nyumba nzuri kubwa halafu kitanda kiwekwe kwenye ukuta k abda kwenye nyumba za kupanga mtu unakuta kila kitu unataka kikae kwenye chumba kimoja over stoo na gst kwa vile vyumba ni vidogo na nikwaajili ya biashara
mbona vinawekwa mkuu.sema tu inategemea nyumba unayoishi na ukubwa wa chumba.km umejenga na chumba chako ni kikubwa BC ruksa.ila km ndo umepanga chumba kimoja ama viwili cdhani km itawezekana.labda km huna vitu vingi chumbani kwako
Sasa kitanda 6x6, chumba ukubwa 7x7. Utaweka katikati ya wapi? Wenye nafasi zao kitanda kinajibwaga hata kutandika unaskia raha hadi unabadili beshtees daily.
Tunaweka pembeni ili kuongeza nafasi chumbani, ukiweka katikati nafasi itakuwa ndogo lakini kama unachumba kikubwa kama Godown unaweza kiweka katikati haina tatizo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.