Arusha: Wawili wajeruhiwa kwa bomu

Arusha: Wawili wajeruhiwa kwa bomu

Atakuwa alikuwa anawindwa huyo shehe wa kenya.
R.I.P Mashehe wote,
though watakuwa wanagegeda bikira 70 ahera nw
cc kahtaan Matola
 
Last edited by a moderator:
Haya bhana na wale waliokufa na Bomu la kanisani wapo paradiso wanakula apple
 
Tanzania sahizi yaani inaenda kuwa afuganistani,wakati wao wanajitahidi kuachana na milipuo...
Kwanini umchukie mtu mpaka uitafute roho yake?binadamu tumekua chui daah
 
MSALANI huu ushabiki wa kijinga utaifikisha nchi pabaya. Jeshi la Polisi linatakiwa kuwabaini wahalifu haraka iwezekanavyo, vinginevyo tutapigwa mabomu mpaka MSALANI.

siri ya haya mabom anaijua Lema na waislam wa suruali fupi.
 
Last edited by a moderator:
Tuongeze ulinzi na serikali ichunguze sana nchi jirani. Wasije wakawa wanatuonea gere kwetu kuna amani na wanataka ku disturb sekta zetu za utalii
 
Dah! Nilicho kipenda ni hizo findings za polisi! ! Eti wamegundua kuwa bomu hilo limetengenezwa .kiwandani, then wamegundua kuwa lilirushwa kwa dirishani, kisha wakagundua kuwa majeruhi mmoja ni mtanzania na mwinginw ni mkenya, halafu tena wakagundua kuwa majeruhi wamevunjika miguu, na wamejeruhiwa maeneo ya mapajani, , investigation closed!!!
 
Atakuwa alikuwa anawindwa huyo shehe wa kenya.
R.I.P Mashehe wote,
though watakuwa wanagegeda bikira 70 ahera nw
cc kahtaan Matola

Makafiri siku zote wanakuwa hawana haya wala imani wala hawajui vibaya.

Sasa we chukulia km kuna marehemu kaacha watoto wadogo wa umri wa kwenda shule.

Wakaja wakasoma hizo comments zako hapo juu.
Na wakatambua kuwa huyu lzm ni Kafiri wa kigalatia ndio aliyesema hivi kuhusu baba yetu,

Je! Huoni kuwa tayari umeshawajengea chuki makafiri wenzako wa huko Arusha kwa watoto hawa?

Na siku za mbeleni mamako mzazi akipeleka biashara yake ya majimbi Arusha bahati mbaya akamjibu vibaya mmoja wa vijana hawa akakata shingo sababu si itakuwa ni wewe?

Wanasema wale makafiri waliowaletea ile sanamu ya mzungu muiabudu kuwa
"what goes around comes around: na pia wanasema
"never say "NEVER"!

Siku kibao kikigeukia nyumbani kwenu utalia kilio cha kusaga meno.
Ulaaniwe wewe na wazee wako waliokosa kukufundisha adabu.

Laanatullah alaik!
 
Last edited by a moderator:
Arusha limekuwa ni eneo la matukio ya mabomu. Lichukuliwe kama ilivyo kwa Rorya kule Musoma. Kwa nini serikali inajivuta?
 
Dah! Nilicho kipenda ni hizo findings za polisi! ! Eti wamegundua kuwa bomu hilo limetengenezwa .kiwandani, then wamegundua kuwa lilirushwa kwa dirishani, kisha wakagundua kuwa majeruhi mmoja ni mtanzania na mwinginw ni mkenya, halafu tena wakagundua kuwa majeruhi wamevunjika miguu, na wamejeruhiwa maeneo ya mapajani, , investigation closed!!!

Hapa inatakiwa uchunguzi sana, Maana bomu kama lilirushwa dirishani duh inakuwa complicated kwanini akatike vidole? Maana sehem inayopata madhara sana ndio inaonekana ilikuwa karibu.
 
Back
Top Bottom