Nimeona nguvu ya uchawi na Mungu

Nimeona nguvu ya uchawi na Mungu

Wakuu kwa mara nyngi nilikuwa naamini uchawi km vitu vya nadharia ktk uwepo wake,japo naenda kanisani kusali imani yangu kwa MUNGU ilikuwa haipo kabisa naenda km wajibu niliyokuta na ustarabu niliyorithi kutoka kw wazazi wangu najamii iliyonizunguka.Hvi majuzi mtoto wangu alikuwa anaumwa mapele yaliyomtoka mwili mzma,nikampeleka hospital wakampa dawa,hakupata hata nafuu,chakushangaza kuna dada aliniambia hyo mtoto wako amelogwa,akasema kwakwetu iringa lazima uhangaike kw waganga cjui kwa kwenu huku,nikampuuza,hali ya mtoto ikazidi kuwa mbaya,nikamrudisha hospital akapata nafuu ikabidi nimwone mchungaji akaniambia mtoto wako amechezewa na wachawi,km huamini atapata unafuu lakini ugonjwa utamrudia,ikawa hvyo kweli.ndipo nilipomwomba amwombee,akamwombea,mtoto cku ya pili yake mapele yote yamekauka.MUNGU NI MKUU

wachawi washe. nzi sana, ,napenda wote wafe, hata mimi kuna mama angu mdogo aliniloga sana wakati napambana na shule, mchawi mkubwa yule
, kawatengeneza ndugu zake wote wamekua maskini pumba vu zake, sasa hv kajichokea kakonda balaa na kufilisika juu, mungu kamjibu hapahapa duniani she nzi zake, na muda si mrefu atarudi kijijini akafie huko mchawi mkubwa.
 
= hakubaliki.

Kumbe mtu wenyewe hta Kiswahili matatizo sijui, nikueleze vipi uweze kuelewa! Pole sana.

Nyie ndio wale mnaletewa sanamu la mzungu mnaambiwa huyu ndio mungu wenu muabuduni na nyie mmo tu.

Ukiachana na ushauri wa LORDVILLE, kuna mwingine hapa. Alama ya mkato baada ya neno "sijui" ilitakiwa iwekwe kabla ya hilo neno "sijui", ili kufikisha ujumbe sawasawa.
Lakini pia umemrekebisha mwenzako kwa kudai alitakiwa aandike "hakubaliki". Si sahihi, neno ulilopendekeza lina maana tofauti na kusudi la muandishi. "Akubariki" na "Hakubaliki" ni maneno yenye maana mbili tofauti!!!
 
By FaizaFoxy

By LORDVILLE
Kwenye red =Hata na sio "hta"
Kwenye bold =sanamu ya mzungu na sio "sanamu la mzungu", ni ndiye na sio "ndio".

Jifunze pia matumizi ya herufi kubwa na ndogo.
Unapo mshauri mwenzako na wewe jichunguze!!

Duh, mlivyomkaba koo FaizaFoxy! Sijui kama atarudi!...
 
wachawi washe. nzi sana, ,napenda wote wafe, hata mimi kuna mama angu mdogo aliniloga sana wakati napambana na shule, mchawi mkubwa yule
, kawatengeneza ndugu zake wote wamekua maskini pumba vu zake, sasa hv kajichokea kakonda balaa na kufilisika juu, mungu kamjibu hapahapa duniani she nzi zake, na muda si mrefu atarudi kijijini akafie huko mchawi mkubwa.

Umeandika kwa hasira sana! Lakini ni kweli wanatesa sana wachawi
 
wachawi washe. nzi sana, ,napenda wote wafe, hata mimi kuna mama angu mdogo aliniloga sana wakati napambana na shule, mchawi mkubwa yule
, kawatengeneza ndugu zake wote wamekua maskini pumba vu zake, sasa hv kajichokea kakonda balaa na kufilisika juu, mungu kamjibu hapahapa duniani she nzi zake, na muda si mrefu atarudi kijijini akafie huko mchawi mkubwa.

jifunze kusamehe
 
jifunze kusamehe

Nimemsamehe ila namwembea kwa MUNGU wangu alie hai na kwa jina la YESU wa Nazareth huyo mama angu mdogo akose amani katika maisha yake yote yaliyo salia, kwa jina la YESU alie hai na kwa damu ya YESU, asife mapema na apate maisha marefu sana ya majuto, Amen.
 
Kwenye red =Hata na sio "hta"
Kwenye bold =sanamu ya mzungu na sio "sanamu la mzungu", ni ndiye na sio "ndio".

Jifunze pia matumizi ya herufi kubwa na ndogo.

Unapo mshauri mwenzako na wewe jichunguze!!

I love this
 
Wakuu kwa mara nyngi nilikuwa naamini uchawi km vitu vya nadharia ktk uwepo wake,japo naenda kanisani kusali imani yangu kwa MUNGU ilikuwa haipo kabisa naenda km wajibu niliyokuta na ustarabu niliyorithi kutoka kw wazazi wangu najamii iliyonizunguka.Hvi majuzi mtoto wangu alikuwa anaumwa mapele yaliyomtoka mwili mzma,nikampeleka hospital wakampa dawa,hakupata hata nafuu,chakushangaza kuna dada aliniambia hyo mtoto wako amelogwa,akasema kwakwetu iringa lazima uhangaike kw waganga cjui kwa kwenu huku,nikampuuza,hali ya mtoto ikazidi kuwa mbaya,nikamrudisha hospital akapata nafuu ikabidi nimwone mchungaji akaniambia mtoto wako amechezewa na wachawi,km huamini atapata unafuu lakini ugonjwa utamrudia,ikawa hvyo kweli.ndipo nilipomwomba amwombee,akamwombea,mtoto cku ya pili yake mapele yote yamekauka.MUNGU NI MKUU

Biblia inasema kwa Jina la Yesu Mtatoe Pepo CHAFU
 
Mtu anaepingana na injili ya Yesu kristo ana mapepo au mizimu hiyo haina ubishi.
 
Nenda kawaulize wagonjwa kule Muhimbili "nikusaidie nini"? kinakushinda nini kuwauliza na kuwaombea wapone?

Nakumbuka Nyerere aliwapiga marufuku enzi zake, walikuja pale viwanja vya Mnazi Mmoja wakajidai eti wanaombea watu, Nyerere akawaambia nendeni Muhimbili na Ocean Road ndio kuna wagonjwa huko, sitaki muonekane viwanjani.

Hawakuonekana tena hawa wanaodanganya wajinga mpaka Nyerere alipong'atuka.

Unayajuwa hayo? au ulikuwa hujazaliwa?

Wewe Allah wako alisha wai ponya hata ugonjwa wa Kichwa?

Msiba una kwenye imani ya kiumbe kinacho pinga Mungu.
 
Kama wanaweza kuwaombea waliorogwa wakapona kwanini wanashindwa kwenda Muhimbili kuwaombea wagonjwa waliorogwa na wasiorogwa wapone?

Wajinga ndio waliwao.

Holy spirit akikuongoza utajua ukweli ila huko uliko ni ngumu kuujua na kuufahamu ukweli.
 
Wewe Allah wako alisha wai ponya hata ugonjwa wa Kichwa?

Msiba una kwenye imani ya kiumbe kinacho pinga Mungu.

Qur'an 67:

67_1.GIF
1. AMETUKUKA ambaye mkononi mwake umo Ufalme wote; na Yeye ni Mwenye uweza juu ya kila kitu. ***
 
MPINGA KRISTO akiwa kazini na kufikiri YESU ni kama@kahtaan

John 5:30

By myself I can do nothing; I judge only as I hear, and my judgment is just, for I seek not to please myself but him who sent me.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom