Mafundi nguo walalamikia Matumbo makubwa ya Wanawake

Mafundi nguo walalamikia Matumbo makubwa ya Wanawake

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,045
Reaction score
13,483
Kuna fundi nguo amehojiwa na ITV leo na kutaja tatizo kubwa linawalowakabili mafundi wengi ni matumbo makubwa waliyonayo wanawake, ambayo husababisha vipimo kukosewa wakati wa kushona.

Ushauri:Kina dada fanyeni mazoezi mpunguze matumbo. Mchana mwema.
 
cc tumboo eti na wewe una kitambi ?
 
Last edited by a moderator:
Huyo si fundi mahiri na bila shaka hana umaridadi wa ushonaji...

Mbona wanawake wana mishundundu mikubwa kuliko hata vitambi na bado huwa wanashonewa nguo ziwakaazo vizuri tu..
 
Back
Top Bottom