Nini kimewasibu wazee wa siku hizi?

Nini kimewasibu wazee wa siku hizi?

babuwaloliondo

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
378
Reaction score
174
Siku za nyuma ilikuwa ukiwa unataka busara basi kaa na wazee au wasikilize wazee watakupa maono na mawaidha.
Ila siku hizi imekuwa ni kinyume.
DSC02718.jpg
DSC08844.JPG

Mrema+chapa+Usingizi+3+(2).jpg

usingizi+%25281%2529.jpg
 
Hata Mimi nimeombwa kusaidia Timu ya mpira kijijini kwetu Ila msinidai uthibitisho
 
Wazee wa kisasa wanaendekeza sana njaa. Most of them ni Wahuni wa zamani.
Ukitaka ufe mapema we fuata mawazo yao!!yaani wanadanganyika hata wakipewa gongo glass moja wanaweza kuuza nchi.Hii ni hasara kwa taifa hata JK kaona hilo siku hizi hata sioni akiwaita!!
 
Aisee huyo dogo anejiachia kwenye kifua cha baba
 
Back
Top Bottom