Recent content by KISAKA MORIS

  1. K

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari apata aibu mbele ya John D. Pallangyo

    HAHAHAHAHAHAH mkuu umenifurahisha sanaaaaaaaa.........watapata shida kwa mzee Lowassa maana ni bingwa wa kugawa vijisenti.......wanachama wa chama cha kijani bwana siwaelewagi kabisa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nimeumia sana baada ya mwanamke kunichezea na kuniacha

    tunatamani kuachwa wengine wanalilia wanawake
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna wa kumpinga Lowassa

    Nipende kusema tu kuwa mimi siyo mwana CCM ila ntamuunga mkono Mheshimiwa E.L atakapoamua kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Uraisi ndani ya chama chaka hata kama mgombea binafsi kama katiba mpya itakuwa inasema hivyo. Sababu za kukupa kura yangu ni nyigi sana. Kama una nia nikupe nguvu zaidi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    Lusinde(kibajaji) Mwigulu michemba Shibuda Zitto pinda makinda kapuya lowasa komba ndugai zungu sophia simba mrema celina kombani wengine kesho ntawataja
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bila Kujali Itikadi ya Vyama nani Zaidi ?

    Dr slaa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nape: Ningepitishwa kuwa mgombea ubunge jimbo la Ubungo, Mnyika asingepita!

    Mnyika ndo kila kitu. Huyo Nape akaimbe kwaya kwa kaka yake komba'
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Zoezi la Vitambulisho vya Uraia Kupangiwa Muda wa Ukomo kujiandikisha ni Sahihi?

    Hujaelewa, muda wa ukomo ni kwa sasa, wakishapita nchi nzima utaratibu huo utakua endelevu, ukisema wakae dar tu watu hawataisha maana naamin kila siku watu wanatimiza miaka kadhaa sasa wakifanya kusubiri hawatapiga hatua yeyote, chamsingi wanapita nchi nzima yaani kila mkoa baada ya hapo zoezi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

    huna jipya majungu tu yamekutawala mzee wewe'
  9. K

    JamiiForums Tanzania Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

    kwahiyo wabunge na viongozi wote wa CCM wanaodai wanataka kuuwawa wanataka huruma ya wananchi??nataka nifahamu mantiki yao kwakuwa Dr. Slaa katoa taarifa unataka mpaka mumtoe roho ndo tuanze kujadili? Tumia hata akili za jirani yako ukishindwa kufikiri kama zako zimestack'
  10. K

    JamiiForums Tanzania Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

    kuna nini ulichosema hapa zaidi ya kukichafua chama chako!nyie ndo wauaji
  11. K

    JamiiForums Tanzania Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

    Ni chama kipi kinadandia matukio zaid CCM? Unakiabisha chama chako mwnyw we mzee'
  12. K

    JamiiForums Tanzania Napenda chadema

    Upo penyewe', penda CDM wewe''
  13. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mpuuzeni Mwigulu Nchemba..!

    Jamani napenda kusema kuwa mwaka huu na hasa kipindi hiki tutasikia na kuona mambo mengi sana kutoka kwa wana ccm waliofilisika kimawazo na kisera.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

    Kinachonichukiza na wakati mwingine kunifurahisha sana huwa huna jipya kabisa, huwa unanichukiza sana na kunifurahisha kidogo.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

    Andika "HARAKATI BILA MIKAKATI NA MBINU DHAIFU (HAFIFU) ZA MWIGULU MOSES NCHEMBA" ndiyo utaeleweka vizuri.
Back
Top Bottom