CHADEMA mpuuzeni Mwigulu Nchemba..!

Watanzania hawahitaji kusikiliza SERA wanataka kusikiliza MATUSI (Nchemba Arumeru Mashariki 2012)
 
Kipi kibaya sasa alicho kisema hapo ili hali CDM wao wenyewe wanajigamba kuwa ni marafiki wa chama cha Camerun ? wanajiharibia wao wenyewe na mahusiano waliyo yaanzisha na sasa yanawagharimu. Jirekebisheni watanzania wawaamini kuwa kweli hamtaki kuleta ushoga TZ

Hivi DR DR DR DR JK juzi kati kabla hajaenda Ethiopia alikuwa anatembeza bakuli nchini kwa nani vile! Nimeona hadi Picha wamepiga na jamaa flani hivi! nadhani ni David Kamerun
 
Kipi kibaya sasa alicho kisema hapo ili hali CDM wao wenyewe wanajigamba kuwa ni marafiki wa chama cha Camerun ? wanajiharibia wao wenyewe na mahusiano waliyo yaanzisha na sasa yanawagharimu. Jirekebisheni watanzania wawaamini kuwa kweli hamtaki kuleta ushoga TZ

Kwa hiyo kwa akili yako fupi, mtu akiwa rafiki yako atakuwa amechua hiyo tabia yako? au unafikiria kupitia makalio?
 
Napenda kutilia maanani maneno ya Membe kuwa wananchi wanaweza kubadili fikra ndani ya saa 24. Ila hii inawezekana tu kwa wale wananchi ambao hawana wanachojua kuhusu wanachoelezwa, na hii ni hatari sana kwa hizi kadamnasi za kina Nape na Nchemba. Cdm wasipuuzie haya maneno kwani yanaweza kweli kuwabadili wananchi na wakaichukia cdm kama tayari walishaanza kuipenda
 
kwani uongo? unazani pesa za maandamano wanazopewa toka uk ni bure? Kwani umeshasikia wamekanusha?
 
mwehu mnampuuzia anakuwa anazidi kuexpose wehu wake, cdm mpuuzeni huyo bwana, 2015sio mbali, unatakiwa uvumilivu!
 
Kipi kibaya sasa alicho kisema hapo ili hali CDM wao wenyewe wanajigamba kuwa ni marafiki wa chama cha Camerun? wanajiharibia wao wenyewe na mahusiano waliyo yaanzisha na sasa yanawagharimu. Jirekebisheni watanzania wawaamini kuwa kweli hamtaki kuleta ushoga TZ !KWANI KUWA NA JIRANI AU RAFIKI KATIKA SHUGHULI ZENU ZA KIMAENDELEO NI LAZIMA UFATE TABIA ZAKE?
 
kauli kama hizi ziliwasababisha CCM kupoteza jimbo Arumeru mashariki, acha aendelee nazo. Natamani na atakaegombea urais via CCM alifanye Chemba kuwa kampeni maneja
 
Anapenda mambo ya ngono ngono huyu?mzinzi utamjua tu kwa kauli zake,maneno mawili la tatu katoa mfano wa zinaa.
 
Mbunge Mwigulu NCHEMBA akiwa mjini Sumbawanga alisema kuwa sera za Chama cha Demokrasia na Maendeleo ni za kukubaliana na ushoga na hata kauli mbiu yao ya sasa ya MOVEMENT FOR CHANGE ni mabadiliko toka hali ya sasa ya jinsi ya kiume kuoa ya kike na kukubaliana na ushoga.

Hivi kauli za namna hii ni za mtu kabisa ambaye ni kiongozi au ni za muuza mitumba aliyevuta bagi? Ametoa kauli hii akiwepo katibu mwenezi Nape NNauye na viongozi wengine wa CCM na hakuna aliyekanusha.

Kauli ,za namna hii zinzashiria nini nje ya muuonekano wa ccm?

Nape na Mwigulu watatumiwa vibaya na ccm kama kondomu lakini mwishowe watatupwa, amini usiamini!
 
yani kweli ktk vijana wa ccm nape ameanza kuona mbali sasa,ila huyu mguu wa chemba anatia aibu.kwanini asiweke mambo yake kisera,angeonekana wa mana sana kama angekuwa anasema sera zenye mlengo wa maendeleo,sasahv wa2 ni waelewa sana,vijana kama kina zito wanajenga hoja na zinakubalika nchni,mwigulu kajenga hoja gan ya mana ?eti ushoga,yani yeye anawaza mambo ya uzinzi tu,kweli kapotea njia.
 
Kipi kibaya sasa alicho kisema hapo ili hali CDM wao wenyewe wanajigamba kuwa ni marafiki wa chama cha Camerun? wanajiharibia wao wenyewe na mahusiano waliyo yaanzisha na sasa yanawagharimu. Jirekebisheni watanzania wawaamini kuwa kweli hamtaki kuleta ushoga TZ
Duh, wewe nawe kweli ni mvivu wa kufikiri!
 
mwigulu nchemba ni mtaji wa vya upinzani.mtumieni vizuri.ni mropokaji sana,walikuwa wanasema nape anaua chama.la hasha.mimi ni ccm damu lakini kwa hili la huyu nchemba naondoka rasmi,kweli uvumilivu ukikushnda huna haja kusema bsi,kadi namba yangu ya chama ni ....still loading....
 
Jamani napenda kusema kuwa mwaka huu na hasa kipindi hiki tutasikia na kuona mambo mengi sana kutoka kwa wana ccm waliofilisika kimawazo na kisera.
 
Mbunge Mwigulu NCHEMBA akiwa mjini Sumbawanga alisema kuwa sera za Chama cha Demokrasia na Maendeleo ni za kukubaliana na ushoga na hata kauli mbiu yao ya sasa ya MOVEMENT FOR CHANGE ni mabadiliko toka hali ya sasa ya jinsi ya kiume kuoa ya kike na kukubaliana na ushoga.

Hivi kauli za namna hii ni za mtu kabisa ambaye ni kiongozi au ni za muuza mitumba aliyevuta bagi? Ametoa kauli hii akiwepo katibu mwenezi Nape NNauye na viongozi wengine wa CCM na hakuna aliyekanusha.

Kauli ,za namna hii zinzashiria nini nje ya muuonekano wa ccm?

Mwigulu is a political infant wearing diapers, his tiny mind does not deserve our attention.
 
Kipi kibaya sasa alicho kisema hapo ili hali CDM wao wenyewe wanajigamba kuwa ni marafiki wa chama cha Camerun? wanajiharibia wao wenyewe na mahusiano waliyo yaanzisha na sasa yanawagharimu. Jirekebisheni watanzania wawaamini kuwa kweli hamtaki kuleta ushoga TZ

Kutafsiri M4C kuwa ni ushoga ni upuuzi mkubwa sana ambao si wa kuvumilia hata.

Komu.
 
Back
Top Bottom