Kumbe mtu akichangia kingi wewe kidogo unakuwa umepata aibu!
Itabidi tuwaletee hawa jamaa ile risiti ya waziri wao...
Kumbe mtu akichangia kingi wewe kidogo unakuwa umepata aibu!
Hiv ccm kijana anatakiwa awe na umri wa miaka mingapi ?huyu palangyo anamiaka 50 ,ila bado ni kijana kwa wana ccm
Nimeisoma Hii Mada Nimetapika Hata Chai Imenishinda Kunywa,mleta Mada Unazidi Kuidhalilisha ccm ni Kiasi Gani Kilivyo Chama Cha Washenzi Watupu,where Was The Point At? Ndiyo Nini Umeandika Lijinga Wewe? Kwanza Mnawamaliza Albino Wetu Then Unakuja Kuleta Uharo Hapa?
ccm wako kwenye siasa tayari. na uvccm anahusika vipi na mambo ya jimboni hadi apewe ugeni rasmi? angekuwa mkuu wa wilaya sawa. angekuwa ded sawa lkn mkiti uvccm kuwa mgeni rasmi na mbunge kuwa mgeni wa kawaida ni dharau kwa mbunge. lkn kwa uungwana amehudhuria.
isijekuwa pesa zimetumika kununua kuws mgeni rasmi na amejazwa mapesa kuhakikisha anajionesha bora kwa wapiga kura.
vijana wa ccm wana akili fupi dizaini ya kimo cha watu wa uturuki
Very cheap politicks yaani coz pallangyo katoa mifuko mingi ya cement na 5million cash kwamba ndie anaefaa kupewa ubunge?my foot!wa TZ si viazi kama mleta uzi unavyotaka watu tuamini,hivi kweli mifuko 100 ya cement na 5million ndiyo bei ya wana meru?please see a psychastric to examine your brain...Habari za humu nawasalimu sana.
Jana katika shule ya sekondari ya Singisi waliyani hapa arumeru mkoani Arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi Wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya Simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa Amani.
Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda John D Pallangyo Wa Uvccm meru na pia mbunge Wa jimbo hilo mbunge Joshua Nasary alialikwa pia kama wadau Wa maendeleo ndipo Hapo aibu kila mmoja Wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge Nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda John Pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana Nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.
My take: Wananchi Wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama John Pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati
Nawasilisha
Habari za humu nawasalimu sana.

kama suala ni wingi wa kuchangia mtapata tabu sana kwa Lowasa
Kumbe mtu akichangia kingi wewe kidogo unakuwa umepata aibu!
kuchangia mifuko 100 na milioni 5 ndio kupenda maendeleo?hopeless kabisa wewe.
Mmaranguorigional upo mkuu? Ebu nisaidie harambee ipo kwenye majukumu ya msingi ya mbunge? Na jee hivi kwenye harambee kunakuwaga na mashindano ya kutoa kama kwenye mnada? Na Kama Pallangyo ndo alikuwa mgeni rasmi huoni kama alichotoa kiliendana na ugeni rasmi? Sidhani wala kufikiri kama wameru walimchagua nassari kwa ajili ya harambee!
IO, kama tatizo ni hilo dawa si kukataza wagombea huru bali kuweka mazingira ambapo wagombea huru wanaweza kushirika katika nafasi mbalimbali za uongozi! Na tunaposema wagombea huru sio kwa nafasi ya urais peke yake hata madiwani, wabunge, au viongozi wa mitaa!! Ni wajibu wa serikali kuja na njia au mtindo mzuri ambapo hata wagombea huru wanaweza kujaribu nafasi zao za uongozi!