Haya tuu,leo kwangu kesho kwako
Samahani mkuu ila unauhakika wewe ni mwanaume?
Mibichwa yenu imekaa kuwa kuchezewa anachezewa mwanamke tu.Hata sisi tunachezewa pia,kama mleta mada,kwani sie Gegedo tunanunua??
ha ha ha alikuahidi kwani aliahidi kukuoa???