Recent content by Kiruke cha Ibwe

  1. Kiruke cha Ibwe

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaombaomba hadi kero ndo maana mnapigwa mimba hovyo

    1. Hv kuomba omba na mimba vinahusiana?? 2. Unajiweka katika risk ya kupata magonjwa kama ukimwi na pia kusababisha watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu simply because umeombwa?? Sijui ni hela ama nn 3. Sasa kama hutaki kuombwa si uachane naye?? Hiki kizazi taab sana, zamani wanaume...
  2. Kiruke cha Ibwe

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya kiuno

    We wakike au kiume?
  3. Kiruke cha Ibwe

    JamiiForums Tanzania Preta njoo nikutongoze, wengine tulieni mjifunze

    Mwambie we mdogo bado hujaanza izo mambo
  4. Kiruke cha Ibwe

    JamiiForums Tanzania Preta njoo nikutongoze, wengine tulieni mjifunze

    Kataa wewe tupate mistari mingine ebo! Ujue watu tupo na kalam n karatas ;)
  5. Kiruke cha Ibwe

    JamiiForums Tanzania Wanandoa kukaa zaidi ya mwaka bila kufanya tendo la ndoa

    Habari. Hivi inawezekana na ni sawa kwa wanandoa kukaa kipindi kirefu bila kukutana kimwili? Inafika zaidi ya mwaka na wakiulizwa wanasema hakuna shida!!
  6. Kiruke cha Ibwe

    JamiiForums Tanzania Mke wangu analeta kiburi, hataki niongeze mtoto wa sita

    Mbembeleze atakuelewa tuu...na salon asiende tena
  7. Kiruke cha Ibwe

    JamiiForums Tanzania Njia gani za kuapata kazi nchi za Ulaya

    Duh cdhani kama huyu jamaa ni mzima, wakati mwingine kama huna mchango ni heri kukaa kimya badala ya kudhalilisha ukoo wenu
  8. Kiruke cha Ibwe

    JamiiForums Tanzania Mitungi ya ORYX gas

    Ndio wanakuuzia
  9. Kiruke cha Ibwe

    JamiiForums Tanzania The perfect one night stand

    One night stand should remain as a one night stand...niliwah kulazimisha kurudia game mara baada ya kupata mambo ya uhakika kwa mtu alopaswa kua one night stand...iliboa na hatukuiongelea tena...hadi sasa tukikutana tunapishana kama strangers
  10. Kiruke cha Ibwe

    JamiiForums Tanzania Bandugu tuwe tunaoga, kunasaidia sana

    Hahaaaaaaaaaaaa
  11. Kiruke cha Ibwe

    JamiiForums Tanzania Mambo 9 ya kuumfanya Mpenzi wako akupende

    Hehe kingreza hiki mh
  12. Kiruke cha Ibwe

    JamiiForums Tanzania Top ten yangu kwa uvivu

    Vipi maswala yetu ya kikubwa hua unamaliza kwel? Au unaishia kulala kwenye kifua cha wife?
  13. Kiruke cha Ibwe

    JamiiForums Tanzania Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

    Aaaaah kwenden zenu...kama vp jipodoen na nyie :/
  14. Kiruke cha Ibwe

    JamiiForums Tanzania Kuna 'vigari' mwanaume hutakiwi kuendesha by the way

    Mh kuna haja ya kuanzisha baby class humu JF maana naona watoto wanapost upuuzi majukwaa ya watu wazima. Annoying
Back
Top Bottom