Matatizo ya kiuno

texaz mc

JF-Expert Member
Jan 15, 2016
371
205
Habari wana JF kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu.

Mimi ni kijana wa miaka 15 . But ninasumbuliwa sana na kiuno hasa ninapoinama.

Mf. Kuchota maji ukijumlisha na uzito wa kata. Aisee ni shida. Kwa anayefahamu tiba naomba anijuze.

Ahsanteni.
 
unataka kuhamia gheto kwake.mpaka mdogo ameamua kuja huku jua katingwa mnaleta ujuvi.wadau mje huku
 
Kwan matokeo ya darasa la 7 tayar au bado? ?
Jamani na sisi tuwe kama watu wazima basi yaani GT . Uandishi wa huu mtoto unahusiana vp na tatitzo lake.
Kifupi huyu dogo ukimwangalia hapo kwa Avatar yake anatia huruma sana. Pili kaandika kwa ustadi mkubwa.
Ukilinganisha na umri wake.
 
Back
Top Bottom