Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

Hebu sometimes tuacheni tupumue jamani kwani tatizo liko wapi?Kila mtu na maisha alivyojipangia aishi sasa ukianza kufatilia mambo ya watu hautakaa uishi maisha yako

Wasamehe buree ni tatizo la kuto jielewa tu....cjui tunawakataa sana umu ndio maana wAnatuandama napenda kuongea ivi umu hatujaja kutafta mabwana na mtuachee
 
Kwani sasa hivi upo mitaa ipi?
Maana kuna ishara wazi utakuwa foleni
Weka wazi tu tuje tupatane biashara
Usione aibu maana umejidhiirisha live we ni mtu wa aina gani!
foleni wanakokuchukulia unafkr kila mtu ni wa aina yako?
 
'''wanaume zetu'' Kibo10 umeielewa vipi hii

Hamna mwanamme anapenda mke/mpenzi wake awe hana adabu!
Mimi mwanamke ajipodoe sawa"sikatai"ila kama tupo sokoni then anachukuwa mkoba wake anaanza kujipaka paka hayo mavitu lazima nimpe makavu na akimaindi ajikatae tu mkuu!!!
 
Last edited by a moderator:
'''wanaume zetu'' Kibo10 umeielewa vipi hii

Na we mwanaume naona kibuti kinakukuta mda si mref we unapenda tunavopondewa....kwel hamna shukran tukijieka rafu mwaongea jip jema kwenu...
 
Last edited by a moderator:
Kwani mtu akijipodoa hata barabarani wee inakupunguzia nini...... mkataze mkeo na mwanao..... na acha kuita wanawake malaya kisa kujiremba hupendi usiwaangalie...... na mwanao ndo atakua anajiremba had huelew sijui utamwita malaya
 
Nitamwelekeza na kumwambia mwanangu nafurahi unajipenda unajitemba
Lakini huu mtindo wa kujirembea barabarani sio mzuri
Hope atanielewa na ndio utaratibu ulivyo zaidi ya hapo watu watakuona wa tofauti tu!!
 
Hamna mwanamme anapenda mke/mpenzi wake awe hana adabu!
Mimi mwanamke ajipodoe sawa"sikatai"ila kama tupo sokoni then anachukuwa mkoba wake anaanza kujipaka paka hayo mavitu lazima nimpe makavu na akimaindi ajikatae tu mkuu!!!

mi hayo macosmetics siyaafiki hata kidogo,unajipodoa ili iwe nini?eti urembo ,hivi ni nani anamwambia mke wako mrembo kama si wewe,sasa hiyo extra coating ambayo ni poisonous what for?mimi namuona mzuri akiwa natural,why ajisilibe uchafu?mi ndo nilambe huo mwili?nakichaa,nje ya hapo kuna agenda ingine...

NITAOA AU NAO AU NIMEOA MWANAMKE NATURAL LOOK,HAIR,CLOTH,CLEAN,DISCIPLINED,AWARE,RESPECT HERSELF PERIOD:::::
 
foleni wanakokuchukulia unafkr kila mtu ni wa aina yako?

Pole sana, naweza kutizama kilichopo moyoni mwako, ukweli ni kwamba unajitetea huku roho yako ikiwa inakusuta kwamba ni kweli wewe ni kahaba, lakini ndo hivyo tupo kurekebishana.
 
Tena eti uwaogope migubegube ya Jf tena MMU!!!! Mxyuuuuuuuu mapouuuuuudaaaa kwa kwenda mbele tena namuomba dereva anisetia kioo nn sjui mirror knaitwa kle cha ndani nijpake npendeze mtoto wa kike mieeeee

umeona eeeeh wanaume wamebaki wachache sana duniani
 
Na we mwanaume naona kibuti kinakukuta mda si mref we unapenda tunavopondewa....kwel hamna shukran tukijieka rafu mwaongea jip jema kwenu...

kuwa clean,osha nywele,mwili,paka mafuta,manukato natural,dress nice a skirt or dress ,cover my kids boobs/teats you look beautiful ila sasa wengine vyote ni KINYUME
 
Makubwa, wonders shall never end.SNOW WHITE ebu niazime mascara na lip gloss.
 
Hivi hii tabia ya wanawake kutembea na vipodozi kwenye mikoba yao inaashiria nini?
Ki ujumla mimi sikubaliani nayo kabisa,maana unakuta mtu ametoka nyumbani na ashakaa kwenye dressing table zaidi ya saa moja akijipamba tu.
Kama ni mafuta kashajipaka manukato kashajipulizia kila idara lakini bado akitoka anabeba hivyo vitu tena kwenye mkoba wake.
Tabia hii wanayo sana wanawake malaya ki ukweli nikimwona mwanamke kwenye daladala/kwenye gari yake anajipaka paka lip sticks huwa mimi namwona ni wale wale tu!
Ebu tujiulize kwani haiwezekani ukajiandaa vya kutosha ukiwa nyumbani na ukitoka umetoka?
Au ni zana za kujiweka katika hali ya kawaida baada ya kuchepuka?
Mbona first lady wetu akiwa kwenye majukumu yake ya kila siku hafungui begi kujipodoa tena?
Tunaulizana tu msipaniki kama ikikugusa!

We vipi wewe?!
 
Back
Top Bottom